News
-
MURKOMEN AWASUTA VIONGOZI WANAOPINGA MSWADA WA FEDHA WA MWAKA 2023.
Waziri wa barabara Kipchumba Murkomen amewasuta baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Pokot magharibi ambao wanapinga mswada wa fedha wa mwaka 2023 ambao unapendekeza ushuru zaidi utakaotumika kufanikisha miradi mbali […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA HARAKATI ZA KUWAHAMI WALIMU WA ECDE KUHUSU MTAALA WA CBC.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia idara ya elimu ya chekechea, early childhood development kwa ushirikiano na shirika la daughters of charity inaendeleza mafunzo kwa walimu wa chekechea kuhusu […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATAKIWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA WAFANYIKAZI KATIKA HOSPITALI YA KACHELIBA.
Wafanyikazi wa idara mbali mbali katika hospitali ya kacheliba kaunti ya Pokot magharibi wameitaka serikali ya kaunti kuangazia hali katika hospitali hiyo ili kuwapa mazingira bora ya kufanyia shughuli zao. […]
-
WAFANYIKAZI WA MRADI WA MAJI WA SIYOI-MURUNY WALALAMIKIA KUTOLIPWA KWA ZAIDI YA MWAKA MMOJA.
Wafanyakazi katika Mradi wa Kusambaza maji wa Siyoi – Muruny wameandamana wakilalamikia kutolipwa mishahara yao ya takriban milioni kumi. Wafanyakazi hao walisema wamepitia changamoto kubwa tangu mradi huo ulipoanzishwa huku […]
-
MAKUNDI MAWILI YA KANISA LA ACK ST. ANDREWS MAKUTANO YAENDELEA KUNYOSHEANA KIDOLE KUFUATIA VURUGU ZA JUMAPILI.
Uongozi wa kanisa la St. Andrews ACK mjini Makutano kaunti ya Pokot magharibi umejitetea kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa katika kanisa hilo kwenye ibaada ya jumapili iliyopita. Mzee wa kanisa hilo Geofrey […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUIMARISHA BIASHARA YA BIDHAA ZA USHANGA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza mikakati ya kuimarisha juhudi za akina mama ambao wanashona ushanga ili kuinua biashara hiyo ambayo inategemewa zaidi na kina mama wengi katika kaunti […]
-
SHULE YA MSINGI YA KOPOCH POKOT MAGHARIBI YANUFAIKA NA MSAADA WA CHAKULA KUTOKA AFISI YA MKEWE RAIS.
Mkewe gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin, Scovia Kachapin amepongeza afisi ya mkewe rais Rachael Ruto kwa msaada wa chakula ambao inaendelea kutoa kwa shule mbali mbali nchini […]
-
LOTEE: RAIS WILLIAM RUTO ANA MAONO MAZURI KWA AJILI YA TAIFA LA KENYA.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuunga mkono mapendekezo ya rais William Ruto kuongeza ushuru nchini ili kufanikisha miradi ya serikali. Wa hivi punge kuzungumzia swala hilo ni mbunge […]
-
ZIARA YA KINDIKI BONDE LA KERIO YATAJWA KUWA MUHIMU KATIKA MCHAKATO WA KULETA AMANI.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wamepongeza ziara za waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki alizofanya katika kaunti za bonde la kerio mwishoni mwa juma […]
-
RASLIMALI NA MIPAKA YATAJWA KUWA VYANZO VYA UTOVU WA USALAMA MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi wameitaka serikali kufanikisha maendeleo hasa maeneo ya mipakani ambako kumekuwa kukishuhudiwa utovu wa usalama kama moja ya mikakati ya kutia kikomo kwa uvamizi wa […]
Top News