News
-
POLISI WALAUMIWA KWA KUWASABABISHIA HASARA WAKAZI WAKATI WA KUENDESHA OPARESHENI YA KIUSALAMA POKOT MAGHARIBI.
Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Pokot wameshutumu jinsi ambavyo oparesheni ya kukabili wezi wa mifugo mipakani pa kaunti hiyo inaendelezwa.Aliyekuwa kwa wakati mmoja mbunge wa Sigor Christopher Lomada alidai […]
-
HATUA YA KUBUNIWA KAMATI ITAKAYOONGOZA MAZUNGUMZO BAINA YA SERIKALI NA UPINZANI YAPOKEA PINGAMIZI.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wametofautiana vikali na hatua ya kubuniwa kamati ya wanachama kumi itakayoongoza mazungumzo baina ya serikali ya Kenya kwanza na upinzani chini ya […]
-
IDARA YA USALAMA POKOT MAGHARIBI YAELEZEA MAFANIKIO DHIDI YA WEZI WA MIFUGO.
Idara ya usalama katika kaunti ya Pokot magharibi imewahakikishia wakazi kwamba usalama umeimarishwa hasa maeneo ya mipakani ambako kumekuwa kukishuhudiwa utovu wa usalama unaosababishwa na wezi wa mifugo. Akizungumza afisini […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAANI MAUAJI YA MTU MMOJA OMBOLION.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu uvamizi wa hivi punde ambao umeshuhudiwa mipakani pa kaunti hii na kaunti jirani ya Turkana ambapo mtu mmoja aliuliwa na wahalifu eneo […]
-
KACHAPIN: MAPENDEKEZO YA JOPO LA KUANGAZIA MAGEUZI YA ELIMU YATAIMARISHA SEKTA YA ELIMU NCHINI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza mapendekezo ya jopo lililobuniwa na rais William Ruto kuangazia mageuzi katika sekta ya elimu nchini chini ya uwenyekiti wa Prof. Raphael […]
-
BUNGE LA POKOT MAGHARIBI LAREJELEA VIKAO BAADA YA KUSITISHWA KWA MUDA KULALAMIKIA MISHAHARA.
Bunge la kaunti ya Pokot magharibi limerejelea rasmi vikao vyake baada ya kusitisha vikao hivyo kwa muda, wabunge katika bunge hilo wakilalamikia maswala mbali mbali ambayo wanashinikiza serikali kutekeleza ikiwemo […]
-
MTU MMOJA AUAWA KATIKA SHAMBULIZI LA HIVI PUNDE MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Taharuki imeendelea kutanda katika mpaka wa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Turkana baada ya mtu mmoja kuuliwa kwa risasi eneo la Ombolion na watu wanaoaminika kuwa wavamizi […]
-
USALAMA WAIMARISHWA KWENYE MISITU YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUZUIA UKATAJI MITI HARAMU BAADA YA RAIS KUONDOA MARUFUKU.
Idara ya misitu katika kaunti ya Pokot magharibi imeweka mikakati ya kuhakikisha kwamba hamna ukataji miti ulio kinyume cha sheria baada ya rais William Ruto kuondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya […]
-
CHAKULA CHA MSAADA KILICHOPOTEA KANYARKWAT CHAPATIKANA.
Siku chache tu baada ya baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi kulalamikia kupotea kwa chakula cha msaada eneo la Kanyarkwat na mnagei, chakula hicho sasa kinadaiwa kupatikana. Akizungumza […]
-
UCHUNGUZI WAENDELEZWA KUHUSIANA NA KUPOTEA CHAKULA CHA MSAADA ENEO LA KANYARKWAT.
Baadhi ya viongozi eneo bunge la Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wameshutumu kupotea kwa chakula cha msaada ambacho kilitolewa na serikali kwa ajili ya wakazi wanaokabiliwa na makali ya njaa […]
Top News