News
-
VITUO ZAIDI VYA KUTOA CHANJO YA COVID 19 KAUNTI YA BUNGOMA VIMEFUNGULIWA
Mshirikishi wa maswala ya magonjwa ibuka kwenye kaunti ya Bungoma Moses Wambusi amesema kuwa vituo 20 vya kutoa chanjo ya covid 19 vimefunguliwa kwenye maeneo bunge yote 10 kwenye kaunti […]
-
SERIKALI KUU YALAUMIWA KUCHELEWESHA FEDHA ZA KILIMO KAUNTI YA TRANS NZOIA
Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia Patrick Khaemba ameilaumu serikali kuu kwa kile amesema imehujumu sekta ya kilimo kwa kufeli kufadhili sekta hiyo ambayo iko chini ya serikali za magatuzi.Akizungumza […]
-
EACC NA DCI YASHAURIWA KUKAGUA STAKABADHI ZA WAFANYIKAZI WA BUNGE LA KAUNTI YA TRANS NZOIA
Siku moja tu baada ya kamati ya haki na sheria katika bunge la kaunti ya Trans Nzoia kugundua dosari katika stakabadhi za waziri wa afya Clare Wanyama na kukosa kumuidhinisha […]
-
SHUGHULI YA KUWAPA WAKULIMA PEMBEJEO KUFANYIKA HAPO KESHO
Wito umetolewa kwa wakazi katika kaunti hii ya Pokot Magharibi kuhakikisha wanajisajili kabla ya kupokea mbegu katika zoezi ambalo linatarajiwa kuzinduliwa kesho na gavana wa kaunti hii Prof. John Lonyangapuo.Akizungumza […]
-
WAKULIMA WAITAKA SERIKALI YA POKOT KUWASAMBAZIA PEMBEJEO KWA WAKATI
Huku wakulima wakiendelea kujitayarisha kwa msimu wa upanzi wakazi wa wadi ya Kodich kaunti hii ya Pokot Magharibi wametoa wito kwa serikali ya kaunti kuharakisha mikakati ya kuwasambazia wakulima pembejeo […]
-
AFISI YA ARDHI YA KAUNTI YA TRANS NZOIA YASHTUMIWA KUTOKANA NA UFISADI
Viongozi katika kaunti ya Trans Nzoia wameilaumu pakubwa afisi ya ardhi katika kaunti hiyo wakisema kuwa imekuwa kizingiti katika kutoa vyeti vya umiliki wa ardhi.Viongozi hao wakiongozwa na kiongozi wa […]
-
WAKAAZI WA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUKUMBATIA UKULIMA WA MIMEA
Mshirikishi wa mradi wa kilimo Kenya Climate Smart Philip Ting’aa ameipongeza serikali ya gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Pro John Lonyang’apuo kwa kukumbatia mradi huo ili kuhakikisha kuwa wakulima […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUEKEZA KATIKA SEKTA YA VIWANDA
Gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi John Lonyang’apuo amesema kuwa serikali yake inanuia kuwekeza pakubwa katika sekta ya viwanda.Akizungumza na wanahabari, Lonyang’apuo amesema kuwa mpango mzima wa kuafikia lengo […]
-
WAKAAZI WA MITAA YA MABANDA WAKOSA VYOO VYA UMMA
Uongozi wa kaunti ya Trans Nzoia umetakiwa kujenga vyoo vya umma katika mitaa ya mabanda ya Kipsongo na Matisi ili kuzuia hali ambapo baadhi yao huenda haja katika vichaka karibu […]
-
WATOTO WAKISIWA KULA NDIZI YENYE SUMU KAKAMEGA
Huzuni umetanda katika kijiji cha Imadala eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega baada ya mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 14 kufariki huku wengine wanne wa kati ya miaka […]
Top News