Author: Charles Adika
-
LONYANGAPUO AWAHAKIKISHIA WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI MAENDELEO
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kuwa serikali yake imejitolea kuhakikisha inatimiza miradi ya maendeleokwa manufaa ya wakazi.Akizungumza eneo la karenger kaunti […]
-
WANAHARAKATI BUNGOMA WATAKA USHIRIKIANO NA SERIKALI YA KAUNTI
Wanaharakati katika kaunti ya Bungoma wameitaka serikali ya kaunti hiyo kushirikiana na mashirika ya kijamii ili kuimarisha mazingira ya utendakazi na kuboresha huduma kwa umma.Wakiongozwa na Lumumba Wekesa wanaharakati hao […]
-
MAHAKAMA YAWAPA AFUENI MASKWOTA KAPSITWET TRANS NZOIA
Maskwota wa Kapsitwet Kaunti ya Trans Nzoia wamesifia uamuzi wa mahakama ya Kitale kwa kurejesha shamba la ekari alfu nne (4000) baada ya kumshitaki aliyekuwa Rais wa Pili Daniel Moi,marehem […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WACHANGAMKIA UJIO WA RAIS SAMIA NCHINI
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini wananchi wakielezea matarajio yao kuhusu ziara ya rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan humu nchini.Kulingana na wakazi wa kaunti hii ya […]
-
SHUGHULI YA KUPIMA ARDHI ENEO LA KAPCHOK YAKASHIFIWA
Mwakilishi wadi ya Kapchok kaunti hii ya Pokot magharibi Peter Lokor amekashifu jinsi shughuli ya kubaini mpaka kati kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda eneo la […]
-
UVAMIZI WA AFISI ZA UDA TRANS NZOIA WASHUTUMIWA
Vijana katika kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kutokubali kutumika kisiasa na baadhi ya wanasiasa kaunti hiyo kwa kisingizio cha tofauti zao za kisiasa.Ni wito wake mshauri mkuu wa kisiasa katika […]
-
WAKAZI WA KAPCHOK WAKADIRIA HASARA BAADA YA KUFA ZAIDI YA NG’OMBE 80
Zaidi ya familia 13 za wafugaji katika wadi ya kapchok kaunti hii ya Pokot magharibi wanakadiria hasara baada ya zaidi ya ng’ombe 80 kufa bila kujulikana kilichosababisha hali hiyo.Mwakilishi wadi […]
-
KUPIGWA MARUFUKU POMBE KWAIMARISHA HALI YA MAISHA KABICHBICH
Maisha ya wakazi wa eneo la Kabichbich, Lelan kaunti hii ya Pokot magharibi yameimarika pakubwa tangu kupigwa marufuku ugemaji pombe haramu na pia uuzaji aina yoyote ya pombe eneo hilo […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUJITOKEZA ILI KUFAHAMU HALI YAO YA HIV
Takriban watu alfu 4,312 wanaugua virusi vya hiv katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa afisa anayesimamia mpango wa hiv katika kaunti hii Nelly Achokor ambaye hata […]
-
Top News