Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA BARINGO YATAKIWA KUSAMBAZA CHAKULA KWA WAKAZI.
Wakazi katika eneo bunge la Baringo kaskazini sasa wanaitaka serikali ya kaunti ya Baringo kwa ushirikiano na ile ya kitaifa kuanzisha mpango wa kuwasambazia chakula cha msaada kwani wengi wanakabiliwa […]
-
BUNGE LA TRANS NZOIA LAAHIDI KUSHUGHULIKIA WAFANYIBIASHARA WALIOBOMOLEWA VIBANDA.
Wafanyibiashara walioathirika na ubomozi wa vibanda mjini Kitale katika kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kutayarisha malalamishi yao na kuyawasilisha katika bunge hilo.Ni wito wake spika wa bunge hilo Joshua Werunga […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAENDELEA KUPUUZA KUBUNIWA CHAMA KIPYA.
Siku chache tu baada ya mwakilishi wadi maalum Elijah Kasheusheu kushutumu mipango ya kubuniwa chama kipya katika kaunti hii ya Pokot magharibi, mipango ambayo hata hivyo ilithibitishwa na mbunge wa […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI KUNUFAIKA NA UTEUZI WA MOJA KWA MOJA KUJIUNGA CHUO CHA KMTC.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi itaendelea kushirikiana kikamilifu na chuo cha mafunzo ya utabibu cha kapenguria KMTC ili kuhakikisha kuwa wanafunzi katika chuo hicho wanapata mafunzo ya viwango […]
-
-
-
-
BAADHI YA SHULE WADI YA CHEPARERIA ZIMESALIA NYUMA KIMAENDELEO KUTOKANA NA UKOSEFU WA FEDHA
Wadau mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wetakiwa kujitokeza na kufadhili miradi katika shule mbali mbali katika wadi ya Chepareria eneo bunge la Pokot Kusini.Mwakilishi wadi wa eneo […]
-
WAZAZI KAUNTI YA ELGEYO MARAKWET WASHAURIWA KUWAHIMIZA WANAO KUPANDA MITI
Wito umetolewa kwa wazazi kote nchini kuwahimiza wanao kupanda miti ili kusaidia katika harakati za taifa za kuhifadhi mazingira na kuimarisha kiwango chake cha misitu. Akiongea baada ya kuwaongoza watoto […]
-
VIJANA WASHAURIWA KUTOTUMIWA NA WANASIASA ILI KUZUA VURUGU KAUNTI YA BARINGO
Vijana katika kaunti ya Baringo wameshauriwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa ili kuzua vurugu taifa linapojiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2022. Akiongea kwenye eneo bunge la […]
Top News