Author: Charles Adika
-
-
-
-
-
RAIS KENYATTA ATARAJIWA KUZINDUA MIRADI MBALI MBALI TRANS NZOIA
Rais uhuru Kenyatta ameratibiwa kuzuru eneo la magharibi ya nchi na kunti ya Trans nzoia kukagua na kuzindua miradi mbali mbali ya maendeleo.Akizungumza na wanahabari mjini Kitale mshirikishi wa utawala […]
-
BIASHARA YA WATOTO YAKITHIRI MAPAKANI PA KENYA NA UGANDA
Visa vya dhuluma dhidi ya watoto vimeongezeka maeneo kadhaa katika taifa jirani la Uganda hasa baada ya shule kufungwa kote nchini humo kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya virus vya corona.Akizungumza […]
-
OPARESHENI YA KUTWAA SILAHA HARAMU YAANZISHWA AMUDAT
Idadi kubwa ya bunduki zinazoingia katika wilaya ya Amudat hasa eneo la Karamoja mpakani pa kaunti hii ya pokot magharibi na taifa jirani la Uganda zinaingizwa eneo hilo kupitia mipaka […]
-
WAZAZI WALAUMIWA KWA KUKITHIRI MIMBA ZA MAPEMA
Siku chache tu baada ya shirika la AMREF kutoa takwimu zilizoashirika kuwa visa vya mimba za mapema katika kaunti hii ya Pokot magharibi zinazidi viwango vya kitaifa seneta wa kaunti […]
-
-
Top News