Author: Charles Adika
-
MACHIFU TRANS NZOIA WAANZISHA OPARESHENI YA KUWASAKA VIJANA AMBAO HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO.
Na Benson AswaniIkiwa zimesalia siku 9 kabla ya kutamatika zoezi la kuwasajili wapiga kura machifu na manaibu wao katika kaunti ya Trans nzoia wameendeleza harakati za kuwasaka wale ambao hawajachukua […]
-
-
-
-
-
-
-
WAZAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUIPA KIPAU MBELE ELIMU YA MTOTO WA KIKE
Na Benson AswaniWazazi katika kaunti hii ya pokot magharibi wametakiwa kutii agizo lililotolewa na wizara ya elimu nchini na kuhakikisha kuwa wanao hasa wa kike walio na ujauzito wanendelea na […]
-
WAKAZI WA RIWO WALALAMIKIA HALI MBOVU YA BARABARA.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Riwo kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali mbovu ya barabara za eneo hilo wakatika wadau husika kuhakikisha kuwa hali hiyo inashughulikiwa haraka iwezekanavyo.Wakiongozwa […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WAPIGWA JEKI KUFUATIA UVUMBUZI WA MTAMBO WA KUKAUSHA MAHINDI.
Na Benson AswaniChuo kikuu cha Moi kimezinduaTeknolojia mpya kupitia kwa mtambo wa kukausha na kuhifadhi nafaka katika juhudi za kuboresha mbinu ya kulinda mazao ya kilimo dhidi ya uharibifu hasa […]
Top News






