Author: Charles Adika
-
‘JUKUMU LA KUJILINDA DHIDI YA CORONA NI LA MWANANCHI MWENYEWE’ ASEMA POGHISIO.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameendelea kusisitiza haja ya wakazi wa kaunti hii kuwa makini zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona msimu huu ambapo […]
-
MWANAMKE ALIYEDAI KUFANYA HARUSI NA ‘ROHO MTAKATIFU’ AJIUZULU RASMI KAZI YAKE.
Elizabeth Nalem, mwanamke aliyejidai kufanya harusi na Roho Mtakatifu katika Kaunti ya Pokot Magharibi ameiacha kazi yake aliyokuwa akifanya katika kaunti na hata kufunga hoteli yake kwa madai ya kuitikia […]
-
VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA KATIKA MAKUNDI NA KUSAJILI KAMPUNI ZAO TRANS NZOIA.
Wito umetolewa kwa vijana waliohitimu kwenye vyuo vya anuwai Kaunti ya Trans-Nzoia kujiunga katika makundi na kusajili Kampuni ili kufaidi asilimia 5% ya kandarasi kutoka kwa serikali.Akihutubu kwenye hafla ya […]
-
WAKAZI WA TRANS NZOIA WATAKIWA KUKUMBATIA BIASHARA YA PORI.
Wito umetolewa kwa wenyeji Kaunti ya Trans-Nzoia wanaomiliki mashamba makubwa Kukumbatia biashara ya ufungaji wa wanyama pori kama njia moja ya kujipatia mapato, badala ya kutegemea ukuzaji wa zao la […]
-
WAKAZI BARINGO WASHAURIWA KUTILIA MAANANI MASHARTI YA KUKABILI CORONA.
Wakazi kaunti ya Baringo wameshauriwa kuendelea kufuata masharti ya wizara ya afya ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona kwani ni jukumu la mtu binafsi kujilinda dhidi ya ugonjwa wa […]
-
JAMII YA TOROIS KAUNTI YA BARINGO YADAI KUTENGWA NA SERIKALI.
Viongozi kutoka jamii ya Torois katika kaunti ya Baringo wanadai kutengwa na serikali kuu pamoja na ile ya kaunti huku watu wa jamii hiyo wakiendelea kupitia matatizo mengi.Christine kandie ambaye […]
Top News









