Author: Charles Adika
-
LONYANGAPUO ASHUTUMIWA KWA KAULI YAKE KUHUSU REKODI YAKE YA MAENDELEO POKOT MAGHARIBI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa na wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi kuhusu kauli za gavana John Lonyangapuo katika vyombo vya habari kuhusu utendakazi wake katika kipindi ambacho amekuwa mamlakani.Wakiongozwa […]
-
WANANCHI WAHITAJIKA KUTOA USHIRIKIANO ZAIDI KATIKA VITA DHIDI YA DHULUMA KWA WATOTO.
Shirika la Topoyo kwa ushirikiano na lile la DSW linalokabiliana na dhuluma dhidi ya watoto linaendeleza uhamasisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kuripoti visa vya dhuluma hizi punde wanapovishuhudia.Wakizungumza mjini […]
-
WAFUASI WA UDA WACHANGAMKIA ZIARA YA NAIBU RAIS POKOT MAGHARIBI.
Naibu rais William Ruto anapotarajiwa kuzuru kaunti hii ya Pokot magharibi kuendeleza kampeni zake za hustler nation wafuasi wa chama cha UDA katika kaunti hii wameelezea utayarifu wa kumpokea kiongozi […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA BARINGO WATAKA SWALA LA USALAMA KUANGAZIWA KWA DHARURA.
Serikali imetakiwa kuangazia kwa dharura tatizo la ukosefu wa usalama ambalo limeendelea kushuhudiwa kwenye baadhi ya maeneo ya kaunti ya Baringo.Wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza la viongozi wa kidini askofu […]
Top News







