Author: Charles Adika
-
NDMA YAENDELEZA UTATHMINI WA ATHARI ZA MSIMU WA MVUA POKOT MAGHARIBI.
Mamlaka ya kushughulikia majanga NDMA katika kaunti hii ya Pokot magharibi inaendeleza utathmini wa athari za msimu wa mvua uliokamilika ili kubaini athari za mvua hiyo katika sekta mbali mbali […]
-
WAHUDUMU WA BODA BODA WATANGAZA KIVUMBI MNAGEI.
Wito umetolewa kwa wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot magharibi kudumisha amani na kutokubali kutumika na wanasiasa kuvuruga amani hasa msimu huu ambapo siasa za uchaguzi mkuu […]
-
WAKAZI WA BARINGO WALALAMIKIA UKOSEFU WA MAAFISA WA USAJILI KATIKA BAADHI YA VITUO VYA USAJILI.
Ikiwa imesalia takriban siku saba kabla ya shughuli ya usajili wa wapiga kura wapya kutamatika, baadhi ya wakazi katika kaunti ya baringo wamejitokeza na kulalamikia kutokuwapo maafisa wa usajili kwenye […]
-
MRENGO WA RUTO WALALAMIKIA SHERIA TATA ZA VYAMA VYA KISIASA.
Wabunge kwenye eneo la bonde la ufa wanaoegemea mrengo wa naibu rais Dkt William Ruto wameendelea kutoa kauli mseto kuhusu sheria tata ya vyama vya kisiasa iliyotiwa saini na rais […]
-
VIONGOZI WAHIMIZWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Viongozi kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu utovu wa usalama ambao unashuhudiwa katika bonde la Kerio, kufuatia mauaji ya watu watatu siku ya ijumaa baada ya kupigwa risasi na […]
Top News








