Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATIA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA USAID.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imenufaika pakubwa kutokana na mfumo wa ugatuzi ambao umepelekea kuafikiwa miradi mbali mbali ya maendeleo ambayo haikuwepo awali.Akizungumza wakati wa kutiwa mkataba wa […]
-
MAKALI YA NJAA YAZIDI KUSHUHUDIWA POKOT MAGHARIBI.
Takriban nyumba alfu 37 ambazo zimeathiriwa na baa la njaa zimefikiwa na idara ya majanga katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Akithibitisha haya msimamizi wa idara hiyo katika kaunti hii ya […]
-
VIONGOZI MBALI MBALI WAENDELEA KUSHUTUMU MAUAJI ENEO LA KAINUK.
Aliyekuwa Waziri wa Mafuta John Munyes amelalamikia mauaji ya zaidi ya watu kumi eneo la kainuk mipakani pa Kaunti za Pokot Magharibi na Turkana.Kwenye kikao na wanahabari mjini Kitale katika […]
-
WASOMI BARINGO WATAKA JAMII ZA WACHACHE KUJUMUISHWA KATIKA SERIKALI IJAYO.
Wasomi kutoka jamii za walio wachache nchini wamewasilisha memoranda iliyo na mapendekezo wanayotaka yaangaziwe na utawala wa chama cha UDA iwapo kitatwaa uongozi wa taifa hili katika uchaguzi wa tarehe […]
Top News








