Author: Charles Adika
-
CHAMA CHA KANU POKOT MAGHARIBI CHAPUUZILIA MBALI UWEPO WA MIGAWANYIKO MIONGONI MWA WAGOMBEA.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amepuuzilia mbali madai ya kuwepo migawanyiko miongoni mwa baadhi ya wagombea viti vya kisiasa kupitia chama cha KANU katika kaunti hii.Akizungumza […]
-
MBUNGE WA SABAOTI ASUTWA KWA KULIPAKA TOPE JINA LA SENETA WA TRANSNZOIA
Seneta wa kaunti ya Trans nzoia Michael Mbito amemsuta mbunge wa Saboti Caleb Amisi kwa madai ya kulipaka tope jina lake badala ya kutangaza sera kwa wapiga kura.Mbito ambaye pia […]
-
MKUTANO WA CHAMA CHA KANU WAHAIRISHWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Chama cha KANU kimetangaza kuahirisha mkutano wa chama hicho uliokuwa umeratibiwa kuandaliwa kesho ijumaa katika kaunti hii ya Pokot magharibi hadi siku ambayo itatangazwa baadaye baada ya kusuluhishwa tatizo la […]
-
MATAYARISHO YOTE YA MCHUJO YA CHAMA CHA UDA YAMEKAMILIKA KAUNTI YA TRANSNZOIA
Chama cha UDA kikijitayarisha kwa kura ya mchujo kuanzia juma lijalo, chama hicho kimefanya mkutano na usimamizi wa uchaguzi na wagombezi viti 134 wa chama hicho kwenye nyadhifa mbalimbali mjini […]
-
WAGOMBEA VITI MBALIMBALI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAMEHAKIKISHIWA MCHUJO WA HURU NA WA HAKI
Wagombea nyadhifa za kisiasa kupitia chama cha UDA Kaunti hii ya Pokot magharibi wameelezea imani ya kuandaliwa mchujo ulio huru na wa haki.Mgombea kiti cha ubunge eneo la Pokot kusini […]
Top News









