Author: Charles Adika
-
VIJANA ZAIDI WANUFAIKA NA HUDUMA ZA PENDO AFRIKA POKOT MAGHARIBI.
Idadi kubwa ya vijana katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamenufaika pakubwa kutokana na huduma za kiutu zinazotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Pendo Afrika.Kulingana na mkurugenzi wa shirika […]
-
VIJANA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUTOKUBALI KUTUMIKA VISIVYO NA WANASIASA.
Vijana wametakiwa kukumbatia amani na kukataa kutumika na wanasiasa katika kuvuruga mikutano ya wapinzani wao msimu huu wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Ni wito wake msimamizi wa wadi […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WAPONGEZA HATUA YA KUPUNGUZWA BEI YA MBOLEA.
Viongozi mbalimbali Kaunti ya Trans Nzoia wanaedelea kupongeza hatua ya serikali kuu kupitia kwa wizara ya Kilimo kuwapunguzia wakulima bei ya pembejeo wakisema itasadia katika kupunguza gharama ya uzalishaji wa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UTOVU WA USALAMA BARINGO.
Serikali kuu kwa ushirikiano na ile ya kaunti ya Baringo imetakiwa kubuni mikakati itakayowezesha utekelezaji wa miradi tofauti ya maendeleo katika eneo bunge la Tiaty ambalo kwa muda limekumbwa na […]
Top News








