Author: Charles Adika
-
MASHIRIKA YA KIJAMII POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA UHAMASISHO DHIDI YA VIJANA KUTUMIKA KISIASA.
Mashirika mbali mbali ya kijamii katika kaunti hii ya Pokot magharibi yanaendelea uhamasho kwa vijana dhidi ya kutumika vibaya na wanasiasa hasa msimu huu wa siasa za uchaguzi mkuu wa […]
-
BI. HARUSI WA “ROHO MTAKATIFU” AAGA DUNIA.
Mkazi mmoja wa kaunti hii ya Pokot magharibi aliyegonga vichwa vya habari mwaka jana kwa kudai kufunga harusi na roho mtakatifu amepatikana amefariki katika hali isiyoeleweka.Kulingana na Jackson kapatet ambaye […]
-
WANASIASA WATAKIWA KUCHUNGA MATAMSHI YAO.
Wito umetolewa kwa wanasiasa nchini kuwa waangalifu na matamshi wanaotoa kwenye kampeni zao za kisiasa wakati huu ambapo wanatafuta uungwaji mkono kwenye nyadhifa mbalimbali za uchaguzi wa Agosti 9.Akihutubu katika […]
Top News







