Author: Charles Adika
-
TAHADHARI YATOLEWA KWA UMMA DHIDI YA MATAPELI WANAOJIFANYA KUWA MAAFISA WA KENYA POWER.
Visa vya utapeli kwa kutumia jina la kampuni ya umeme ya Kenya power vimeripotiwa kukithiri katika kaunti hii ya Pokot magharibi cha hivi punde kikihusu shule ya upili ya wasichana […]
-
WALIMU WAKUMBATIA CBC LICHA YA KUONEKANA KUPINGA AWALI.
Licha ya kuonekana kupinga awali mtaala wa umilisi CBC ulipokuwa ukizinduliwa kwa mara ya kwanza nchini walimu sasa wamekumbatia mtaala huo.Kulingana na mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Asilong […]
-
OPARESHENI YA KUWAFURUSHA WAKAZI KATIKA MSITU WA MAKUNGA TRANS NZOIA YAANZISHWA.
Serikali imeanzisha oparesheni ya kuwahamisha wakazi ambao wameuvamia msitu wa makunga eneo bunge la Saboti kwenye kaunti ya Trans nzoia na ambako wanaendeleza shughuli za kilimo.Akizungumza baada ya kikao na […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WAKADIRIA HASARA KUFUATIA UVAMIZI WA VIWAVI JESHI.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi inaendelea kuweka mikakati ya kukabili kusambaa kwa viwavi jeshi ambao wameripotiwa kuvamia mashamba ya wakulima katika maeneo mbali mbali ya kaunti hii wakati […]
-
MWANGA WA TUMAINI KWA MWANAFUNZI AMBAYE NUSRA AKATIZE NDOTO YAKE.
Siku chache tu baada ya kituo hiki kuangazia masaibu yaliyomkabili mtahiniwa mmoja wa darasa la nane kutoka mtaa wa mawingo road viungani mwa mjini wa makutano Brian Kemboi ambaye alikuwa […]
Top News









