Author: Charles Adika
-
WITO WA USALAMA WAENDELEA KUTOLEWA NA VIONGOZI WA BONDE LA KERIO.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti za bonde la Kerio kukumbatia amani na kutojihusisha na maswala ya uvamizi ambao umegharimu maisha ya wakazi wengi huku baadhi wakilazimika kuyakimbia makazi yao.Ni […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUWAHAKIKISHIA WAKAZI WA BARINGO USALAMA.
Mwakilishi wa wadi ya Bartabwa katika eneo bunge la Baringo kaskazini kaunti ya Baringo Reuben Chepsongol ametoa wito kwa serikali kuwahakikishia usalama wao wakazi wa kaunti hiyo kutokana na uvamizi […]
-
WAGOMBEA NYADHIFA ZA KISIASA WAPONGEZWA KWA KUWATEUA WANAWAKE KUWA WAGOMBEA WENZA.
Hatua ya Viongozi mbali mbali kuwateua akina mama kuwa wagombea wenza nchini inazidi kupokelewa vyema na baadhi ya Viongozi katika Kaunti ya Trans-Nzoia.Mgombea wa kiti Cha ubunge eneo la Endebess […]
-
SERIKALI YAENDELEZA MCHAKATO WA KUTATUA MIZOZO YA ARDHI KACHELIBA.
Serikali inaendeleza shughuli ya kutatua mizozo inayohusu ardhi ambayo imekuwepo kwa muda sasa hasa kupitia kugawa baadhi ya vipande vya ardhi kwa wakazi katika eneo la Kacheliba kaunti hii ya […]
-
VIJANA WATAKIWA KUTOTUMIKA NA WANASIASA MSIMU HUU WA UCHAGUZI.
Vijana katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutokubali kutumika visivyo na wanasiasa kuvuruga amani hasa wakati huu wa siasa za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Ni wito ambao umetolewa na […]
Top News









