Author: Charles Adika
-
MWANAMME MMOJA ANASAKWA NA MAAFISA WA POLISI BAADA YA KUMWANGAMIZA MPENZIWE KWA KISU ENEO LA KAPLAI TALAU KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Jamii moja katika kijiji cha Kaplai eneo la Talau kaunti hii ya Pokot , magharibi inalilia haki baada ya mwanao kuuliwa na mmewe.Kulingana na babake mwenda zake Oleting’iti Memoi wawili […]
-
WANIAJI WA NYADHIFA TOFAUTI WAPONGEZWA KWA KUWATEUA WAGOMBEA WENZA KIKE.
Mwakilishi wa kike katika bunge la kitaifa kaunti ya elgeiyo marakwet jane kiptoo chabaibai amepongeza hatua ya viongozi wa kiume kuwachagua wanawake kuwa wagombea wenza wao hasa wa ugavana na […]
-
MGOMBEA KITI CHA UBUNGE ENDEBES KAUNTI YA TRANSNZOIA AHAIDI KUWATAFTA WAWEKEZAJI IWAPO ATACHAGULIWA
Kiongozi na musomi kutoka eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia Pius Gumo amesema yuko tayari kuwatafuta waekezaji iwapo atachaguliwa kuwa Mbunge ili kupiga jeki eneo bunge hilo ikiwemo […]
-
WASHIKADAU KUTOKA KAUNTI YA TURKANA WAAHIDI KUHAKIKISHA VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA ZINAPUNGUA
Mimba za mapema miongoni mwa wasichana na dhulma za jinsia ni baadhi ya changamoto zinazowakumba wasichana na wanawake katika kaunti ya turkanaChangamoto ambazo zimewaathiri wengi na sera zilizopo zikionekana kuwa […]
Top News








