Author: Charles Adika
-
LONYANGAPUO AKOSOLEWA KWA HATUA YAKE YA HIVI PUNDE KUWAAJIRI MAAFISA ZAIDI.
Hata licha ya gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo kuonya dhidi ya kuingizwa kile alichotaja kuwa siasa katika shughuli ya hivi punde kuwaajiri maafisa zaidi katika serikali […]
-
WAHUDUMU WA BODA BODA WATAKIWA KUHUBIRI AMANI POKOT MAGHARIBI.
Wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutumia nafasi yao kuhubiri amani msimu huu wa siasa za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti ili kuhakikisha kuwa uchaguzi […]
-
‘KENYA KWANZA ITAKABILI UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO’, WASEMA VIONGOZI WA UDA.
Viongozi wanaowania nyadhifa za uongozi katika kaunti ya baringo kupitia chama cha UDA, wameelezea matumaini kwamba serikali ya kenya kwanza itashughulikia tatizo la utovu wa usalama unaochangiwa na visa vya […]
Top News







