Author: Charles Adika
-
WAZAZI WAUNGA MKONO HATUA YA KUFANYIWA UKAGUZA MTAALA WA UMILISI CBC
Chama cha kitaifa cha Wazazi katika kaunti ya Transnzoia kimeunga mkono mpango wa Rais Wiliam Ruto kuwashirikisha washikadau katika sekta ya Elimu kutathmini upya mtalaa wa umilisi cbc.Mwenyekiti wa chama […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUENDELEA KUJITOKEZA KUPOKEA CHANJO DHIDI YA CORONA.
Serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi kupitia wizara ya Afya, idara ya chanjo na maambukizi iliandaa warsha ya siku moja na washikadau mbali mbali kubuni njia na mikakati ya kuwarai […]
-
WADAU WATAKIWA KUWASHAURI VIJANA DHIDI YA MATUMIZI YA MIHADARATI
Wito umetolewa kwa viongozi katika jamii hasa wale wa kidini kuchukua jukumu la kuwashauri vijana kama njia moja ya kukabili maovu yanayotokea hasaa visa vya mauaji au uhalifu kila kukicha.Akizungumza […]
Top News








