Author: Charles Adika
-
NAIBU GAVANA WA BARINGO AAGA DUNIA
Naibu gavana wa kaunti ya Baringo Charles Kipngok amefariki dunia katika uwanja wa kimataifa wa ndege JKIA usiku wa kuamkia leo akiwa safarini kuelekea Mombasa kwa kutumia ndege ya shirika […]
-
CBC YAENDELEA KUWAKANGANYA WADAU WA ELIMU.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wadau katika sekta ya elimu kuhusu utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC wakati rais William Ruto akiahidi kubuni kamati ya kutafuta maoni kuhusu […]
-
WAKAAZI WANAMTAKA RAIS WILIAM RUTO KUTEKELEZA YALE ALIYOAHIDI
Wakaazi kutoka kaunti ya Trans nzoia wameendelea kusherehekea kuapishwa kwa Rais Wiliam Ruto wakimuomba kushughulikia changamoto zinazokumba haswa kupanda kwa Gharama ya Maisha.Wakaazi hao wameendeleza sherehe zao wakifurahia haswa baada […]
Top News








