Author: Charles Adika
-
WAAKILISHI WADI TRANS NZOIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA GAVANA NATEMBEYA.
Viongozi wa kidni katika kaunti ya Trans nzoia wamewataka waakilishi wadi katika kaunti hiyo kushirikiana na gavana George Netembeya na kuhakikisha kuwa wanapitisha miswada muhimu ili kuiwezesha kaunti hiyo kuimarika […]
-
WAKUU WA SHULE WALALAMIKIA MAANDALIZI DUNI YA KUWAPOKEA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI DARAJA YA CHINI.
Baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia maandalizi duni ya kuwapokea wanafunzi wa shule za sekondari kiwango cha chini yani Junior sekondari katika mtaala mpya […]
-
RUTO AWATAJA WAPIGA KURA NA MWENYEKITI WA IEBC KUWA MASHUJAA WA UCHAGUZI.
Rais mteule William Ruto amemlimbikizia sifa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati, idara ya mahakama na wakenya wapiga kura kuwa mashujaa wa uchaguzi wa mwaka […]
-
USHINDI WA RUTO WAENDELEA KUSHEREHEKEWA KOTE NCHINI.
Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi ambao ni wafuasi wa muungano wa Kenya kwanza wameendelea kupongeza uamuzi wa mahakama ya juu uliodumisha ushindi wa rais Mteule William […]
Top News









