Author: Charles Adika
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WATAKA FIDIA KWA WALIOATHIRIKA NA UVAMIZI.
Kama njia moja ya kuponya makovu ya ujambazi katika bonde la kerio, viongozi wa eneo hilo wamesema watapitisha mswada bungeni wa kuwalipa fidia walioathirika na visa vya mara kwa mara […]
-
JUHUDI ZA MASHIRIKA YA KIJAMII POKOT MAGHARIBI ZAPONGEZWA.
Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi katika kaunti hii ya Pokot magharibi Wilfred Longronyang ameyapongeza mashirika ya kijamii katika kaunti hii yakiwemo ACF na FAO kwa juhudi ambazo yanafanya kuwawezesha […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA VITUO VYA POLISI TIATI.
Pana haja ya serikali kupitia wizara ya usalama wa kitaifa kuongeza idadi ya vituo vya polisi katika eneo bunge la Tiaty ili kuimarisha usalama. Ndio usemi wake mbunge wa mogotio […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHA HUDUMA BORA ZA AFYA.
Mbunge wa sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ameelezea imani kwamba sekta ya afya katika kaunti hii ambayo imetajwa kuwa na changamoto tele katika uongozi uliotangulia itaimarika […]
-
OCPD WA ALALE ASUTWA KWA MADAI YA ULAJI RUSHWA.
Wahudumu wa magari yanayohudumu katika barabara ya kacheliba wamelalamikia kuhangaishwa na OCPD wa pokot kaskazini hasa eneo la Alale ambaye wanadai kwamba anawatoza shilingi 500 kila mwezi kwa kila gari […]
Top News










