Author: Charles Adika
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA WA WAFUGAJI WANAPOHAMA KUTAFUTA LISHE KWA MIFUGO.
Serikali imetakiwa kuimarisha usalama eneo la Amudat mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda ili kutoa ulinzi kwa wafugaji wanaohamisha mifugo wao kuwatafutia lishe kufuatia […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUCHANGIA JUHUDI ZA KUIMARISHA USAFI TAIFA LINAPOADHIMISHA WIKI YA USAFI.
Taifa likiadhimisha wiki ya usafi idara mbali mbali katika serikali ya kaunti hii ya Poikot magharibi zimeelezea kushirikiana kuhakikisha kwamba usafi wa mazingira unaimarishwa katika kaunti hii. Akizungumza wakati wa […]
-
MJADALA UNAOHUSU KUBUNIWA KAUNTI MPYA YA MLIMA ELGON WAZIDI KUTOKOTA.
Mjadala wa kuongeza idadi ya kaunti kutoka arobaini na saba hadi hamsini na mbili unaendelea kuibua hisia kinzani huku wanasiasa na Wakaazi wa maeneo yanayolengwa wakiwasuta wanaopinga pendekezo hilo Mmoja […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUJISAJILI KATIKA MAKUNDI ILI KUNUFAIKA NA ‘HUSTLER FUND’
Kama njia moja wepo ya kuinua makundi ya vijana na akina mama kaunti ya Pokot magharibi kupitia hazina ya serikali kuu ya serikali kuna haja ya wao kujiandikisha kwenye vikundi. […]
-
SERIKALI ZA KAUNTI ZATAKIWA KUTENGA BAJETI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA KALA AZAR.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imetakiwa kutenga bajeti ya kushughulikia ugonjwa wa kala azar ili kukabili athari za ugonjwa huo ambao mara nyingi huripotiwa katika maneo kame nchini. […]
Top News










