Author: Charles Adika
-
WAFANYIKAZI KAUNTI YA TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KIKAMILIFU NA SERIKALI.
Chama cha kutetea maslahi ya wafanyikazi katika kaunti ya Trans nzoia kimewahimiza wafanyikazi wa kaunti hiyo kushirikiana kikamilifu na uongozi wa gavana George Natembeya katika juhudi za kuimarisha miradi ya […]
-
SHIRIKA LA SICOM LAENDELEZA MIKAKATI YA KUKABILI ATHARI ZA UKAME POKOT MAGHARIBI.
Shirika lisillo la serikali la SICOM linalenga kuzindua mpango wa kuwawezesha wakazi wa maeneo mbali mbali ya kaunti hii ya Pokot magharibi hasa kina mama ili kuweza kujikimu hasa kipindi […]
-
WADAU POKOT MAGHARIBI WAONYWA DHIDI YA KUFANIKISHA WIZI WA MITIHANI YA KITAIFA.
Mitihani ya kitaifa kwa ajili ya darasa la nane KCPE na kidato cha nne KCSE ikiendelea kukaribia, wadau katika sekta ya elimu kaunti hii ya Pokot magharibi wameonywa dhidi ya […]
Top News








