Author: Charles Adika
-
HALI YA KIANGAZI YAENDELEA KUWATIA HOFU WAKULIMA WA MIFUGO POKOT KUSINI.
Hali ya kiangazi ikizidi kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, Wakulima wa mifugo hasa ngombe kutoka eneo la Sepuser wadi ya Chepareria eneo bunge la pokot kusini kaunti ya Pokot Magharibi […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUTOWAKILISHWA VYEMA KATIKA SERIKALI YA KENYA KWANZA.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametoa wito kwa rais William Ruto kuhakikisha kwamba kaunti hii inawakilishwa vyema katika serikali yake. Wakiongozwa na Joseph Limasia mkazi wa eneo la […]
-
ZAIDI YA MAAFISA 216 WA NPR WASAJILIWA KATIKA JUHUDI ZA KUIMARISHA USALAMA BONDE LA KERIO.
Naibu kaunti kamishna eneo bunge la marakwet mashariki kaunti ya Elgeiyo marakwet Simon Osumba amesema tayari maafisa wa akiba NPR wapatao 216 wamesajiliwa kama alivyoagiza waziri wa usalama wa ndani […]
-
WATOTO WANNE WANASWA BAADA YA KUKEKETWA KACHELIBA POKOT MAGHARIBI.
Licha ya juhudi na mikakati iliyowekwa na serikali pamoja na mashirika mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi kukabili tamaduni ya ukeketaji wa watoto wa kike, visa hivi vimeendelea […]
Top News









