Author: Charles Adika
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WASISITIZA HAJA YA KUPEWA KIPAU MBELE WAKAZI KATIKA ZOEZI LA USAJILI WA WALIMU.
Viongozi mbali mbali wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuishinikiza tume ya huduma kwa walimu TSC kuhakikisha kwamba wanatendea haki wakazi wa kaunti hiyo kwa kuwapa kipau mbele […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAWAHAKIKISHIA WAZAZI MIPANGO YA KUTOA FEDHA ZA BASARI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amewahakikishia wazazi katika kaunti hiyo kwamba serikali yake inaendeleza mikakati ya kuhakikisha wanafunzi wanapata fedha za basari kufanikisha masomo yao. Akizungumza baada […]
-
TSC YATANGAZA KUANZA SHUGHULI YA KUWAAJIRI WALIMU ZAIDI POKOT MAGHARIBI WAKAZI WAKIONYWA DHIDI YA MATAPELI.
Tume ya huduma kwa walimu TSC kaunti ya Pokot magharibi imesema kwamba inanuia kuwaajiri walimu zaidi ili kushughulikia changamoto ya uhaba wa walimu katika shule za kaunti hiyo pamoja na […]
Top News








