Author: Charles Adika
-
KENYATTA ASUTWA KWA KUENDELEA KUJIHUSISHA NA SIASA LICHA YA KUSTAAFU.
Kauli ya rais mustaafu Uhuru Kenyatta katika mkutano wa wajumbe wa chama cha jubilee kwamba hatang’atuka katika uongozi wa chama hicho hadi wajumbe wake watakapoamua hivyo, imeendelea kuibua hisia mseto […]
-
WAKAZI WA PARUA WALALAMIKIA KAZI DUNI ILIYOTEKELEZWA NA MWANAKANDARASI KATIKA BARABARA YA KOCHI HADI PARUA.
Wakazi wa eneo la Parua eneo bunge la pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kazi duni ambayo imetekelezwa na mwanakandarasi aliyepewa jukumu la kukarabati barabara ya kutoka Kochi […]
-
MATOZO YALIYOPENDEKEZWA KATIKA MSWADA WA KIFEDHA MWAKA 2023/2024 YAENDELEA KUIBUA HISIA KINZANI NCHINI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia mapendekezo ya rais William Ruto katika mswada wa fedha wa mwaka 2023/2024 ambapo amependekeza kuongeza viwango vya ushuru unaotozwa kwa wakenya ili kufanikisha miradi […]
-
POGHISIO: TUACHIE JUKUMU LA KUBAINI MIPAKA TUME YA UCHAGUZI NA KURATIBU MIPAKA IEBC.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameshutumu mizozo inayozingira mpaka wa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana wakitoa wito kwa viongozi wa kisiasa kutoka pande zote mbili kuwa makini […]
-
WAKUU WA SHULE POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUBUNI MBINU ZA KUIMARISHA MATOKEO YA MITIHANI YA KITAIFA.
Wakuu wa shule za kaunti ya Pokot magharibi pamoja na wadau wengine wametakiwa kuhakikisha kwamba wanaweka mikakati bora itakayosaidia kuhakikisha matokeo ya mitihani ya kitaifa yanaimarika hata zaidi.Akizungumza katika shule […]
Top News








