Author: Charles Adika
-
RAIS RUTO ALAUMIWA KUFUATIA KUPANDA GHARAMA YA MAISHA NCHINI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wananchi kuhusu mapendekezo ya kuongezwa viwango vya ushuru na matozo mbali mbali kwa wakenya kama njia moja ya kufanikisha shughuli za serikali. Wakazi wa […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WATAKIWA KUTIA JUHUDI ZAIDI KUHAKIKISHA AMANI INAREJEA ENEO HILO.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kutia juhudi za kuhakikisha kwamba hali ya usalama inadumishwa hasa maeneo ya mipaka ya kaunti hiyo na kaunti jirani za Turkana, Baringo na […]
Top News









