Author: Charles Adika
-
SERIKALI YAENDELEA KULAUMIWA KUFUATIA KUKITHIRI UTOVU WA USALAMA MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wameendeleza shutuma dhidi ya mauaji ya mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 18 katika kijiji cha Ompolion wadi ya Kasei wakati alipokuwa akilisha mifugo. […]
-
MIITO YAENDELEA KUTOLEWA KWA WAKAZI MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI KUDUMISHA AMANI.
Waziri wa afya kaunti ya Pokot Magharibi Cleah Parkleah ametoa wito kwa wakazi wa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana hasa eneo la mpakani pa kaunti hizi mbili kuendelea […]
Top News







