Author: Charles Adika
-
SHIRIKA LA SPECIAL OLYMPICS LAENDELEZA USAJILI WA WATOTO WENYE ULEMAVU ILI WANUFAIKE KWA ELIMU POKOT MAGHARIBI.
Wazazi eneo bunge la kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuwatoa wanao ambao wanaishi na ulemavu katika zoezi la ukaguzi wa watoto hao linaloendeshwa na shirika la special Olympics […]
-
UHABA WA BARABARA NA MTANDAO WATAJWA KUWA KIZINGITI KATIKA JUHUDI ZA KUWAKABILI WAHALIFU BONDE LA KERIO.
Ukosefu wa barabara nzuri na tatizo la mtandao ni baadhi ya maswala ambayo yanafanya vigumu kukabili hali ya utovu wa usalama maeneo ya mipakani pa kaunti ya Pokot magharibi na […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUPANDA MIMEA KANDO NA KILIMO CHA UFUGAJI.
Wito umetolewa kwa wakulima katika kaunti ya Pokot magharibi kukumbatia kilimo cha mimea mingine kando na shughuli za ufugaji ili kuhakikisha usalama wa chakula ikiwa moja ya ajenda kuu za […]
-
WAZAZI WAONYWA DHIDI YA KUSALIA NA WANAO NYUMBANI KUFUATIA KARO.
Katibu wa kaunti ya Pokot magharibi Jonathan Siwanyang amewaonya wazazi dhidi ya kuruhusu wanao kusalia nyumbani kwa sababu ya ukosefu wa karo. Akizungumza katika hafla moja huko Soak eneo bunge […]
Top News








