Author: Charles Adika
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAUMIWA KWA KUENDELEZA SIASA BADALA YA KUWAHUDUMIA WANANCHI.
Wito umetolewa kwa viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi kushirikiana kikamilifu na kuwahudumia wananchi licha ya tofauti ya vyama vyao vya kisiasa. Aliyekuwa gavana wa kaunti hiyo John […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUINGILIA KATI KUSAIDIA IDADI KUBWA YA WAKAZI WA WEIWEI WANAOKABILIWA NA BAA LA NJAA.
Mwakilishi wadi ya Weiwei kaunti ya Pokot magharibi David Moiben ametoa wito kwa serikali kuu kuingilia kati na kutoa chakula cha msaada kwa wakazi wa eneo hilo ambao wanakabiliwa pakubwa […]
-
SWALA LA USALAMA LASALIA KIZUNGUMKUTI BONDE LA KERIO VIONGOZI WAKIZIDISHA HARAKATI ZA KUAFIKIWA AMANI.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wanaendeleza juhudi mbali mbali za kuhakikisha kwamba visa vya uvamizi ambao unaendelea kushuhudiwa maeneo ya mipakani vinakabiliwa ili kuafikia amani na kuruhusu wakazi wa […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA HARAKATI ZA KUIMARISHA UFUGAJI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imejitolea kuhakikisha kwamba inapiga jeki shughuli za wafugaji na kuwawezesha kuimarisha hali yao ya uchumi hasa ikizingatiwa idadi kubwa ya wakazi wa kaunti hiyo […]
Top News







