Author: Charles Adika
-
WANASIASA WALIOFELI KWENYE UCHAGUZI WAONYWA DHIDI YA KUHITILAFIANA NA UTENDAKAZI WA VIONGOZI WALIO MAMLAKANI.
Wito umetolewa kwa viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi hasa waliofeli katika uchaguzi mkuu uliopita kushirikiana na viongozi waliochaguliwa ili kuhakikisha kuwa wananchi katika kaunti hiyo wanapata huduma […]
-
MAKUNDI YA WAKULIMA 67 KUTOKA WADI TATU POKOT MAGHARIBI YANUFAIKA NA MBUZI AINA YA GALA KATIKA JUHUDI ZA KUIMARISHA KILIMO CHA UFUGAJI.
Mradi wa Kenya climate smart Agriculture kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia idara ya kilimo umetoa mbuzi 622 aina ya gala kwa makundi 67 ya wakulima […]
-
MURKOMEN AWASUTA VIONGOZI WANAOPINGA MSWADA WA FEDHA WA MWAKA 2023.
Waziri wa barabara Kipchumba Murkomen amewasuta baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Pokot magharibi ambao wanapinga mswada wa fedha wa mwaka 2023 ambao unapendekeza ushuru zaidi utakaotumika kufanikisha miradi mbali […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA HARAKATI ZA KUWAHAMI WALIMU WA ECDE KUHUSU MTAALA WA CBC.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia idara ya elimu ya chekechea, early childhood development kwa ushirikiano na shirika la daughters of charity inaendeleza mafunzo kwa walimu wa chekechea kuhusu […]
Top News








