Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATAKIWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA WAFANYIKAZI KATIKA HOSPITALI YA KACHELIBA.
Wafanyikazi wa idara mbali mbali katika hospitali ya kacheliba kaunti ya Pokot magharibi wameitaka serikali ya kaunti kuangazia hali katika hospitali hiyo ili kuwapa mazingira bora ya kufanyia shughuli zao. […]
-
WAFANYIKAZI WA MRADI WA MAJI WA SIYOI-MURUNY WALALAMIKIA KUTOLIPWA KWA ZAIDI YA MWAKA MMOJA.
Wafanyakazi katika Mradi wa Kusambaza maji wa Siyoi – Muruny wameandamana wakilalamikia kutolipwa mishahara yao ya takriban milioni kumi. Wafanyakazi hao walisema wamepitia changamoto kubwa tangu mradi huo ulipoanzishwa huku […]
-
MAKUNDI MAWILI YA KANISA LA ACK ST. ANDREWS MAKUTANO YAENDELEA KUNYOSHEANA KIDOLE KUFUATIA VURUGU ZA JUMAPILI.
Uongozi wa kanisa la St. Andrews ACK mjini Makutano kaunti ya Pokot magharibi umejitetea kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa katika kanisa hilo kwenye ibaada ya jumapili iliyopita. Mzee wa kanisa hilo Geofrey […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUIMARISHA BIASHARA YA BIDHAA ZA USHANGA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza mikakati ya kuimarisha juhudi za akina mama ambao wanashona ushanga ili kuinua biashara hiyo ambayo inategemewa zaidi na kina mama wengi katika kaunti […]
-
SHULE YA MSINGI YA KOPOCH POKOT MAGHARIBI YANUFAIKA NA MSAADA WA CHAKULA KUTOKA AFISI YA MKEWE RAIS.
Mkewe gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin, Scovia Kachapin amepongeza afisi ya mkewe rais Rachael Ruto kwa msaada wa chakula ambao inaendelea kutoa kwa shule mbali mbali nchini […]
Top News









