Tag: West Pokot
-
Serikali ya kaunti yatoa hundi ya shilingi milioni 19 kwa makundi ya wakulima Karas
Na Benson Aswani,Makundi 19 ya wakulima eneo la Karas kaunti ya Pokot magharibi yamenufaika na shilingi milioni 19 kutoka kwa serikali ya kaunti kama ufadhili wa kuyawezesha kuendeleza shughuli zao […]
-
Kachapin apongeza juhudi za viongozi waliopigania ugatuzi
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza mashujaa anaosema walipigania ukombozi wa pili wa taifa, hali iliyopelekea kuwepo serikali za magatuzi ambazo zimeleta manufaa makubwa kwa […]
-
Idara ya usajili yapelekea huduma ya vitambulisho mashinani Pokot Magharibi
Na Angela Cherono,Idara ya usajili wa watu nchini inaendeleza zoezi la kuwasajili wakazi maeneo ya mashinani katika kaunti za maeneo kame nchini ambao wametimu umri wa kupata vitambulisho vya kitaifa […]
-
Viongozi waendelea kutuma risala za rambi rambi kufuatia kifo cha Raila Odinga
Na Benson Aswani,Viongozi mbali mbali nchini wameendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ambaye aliaga dunia mapema jana akiwa nchini India. Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Simon […]
-
Viongozi waelezea haja ya kudhibitiwa shughuli ya uchimbaji madini Masol
Na Benson Aswani,Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ametaka shughuli ya uchimbaji madini eneo la Masol Kudhibitiwa. Akizungumza baada ya kikao cha kubuni mikakati ya kuweka kamati […]
-
Shule ya wavulana ya Kapenguria yapandishwa hadhi na kuwa ya kitaifa
Na Benson Aswani,Walimu na wazazi wa shule ya upili ya wavulana ya Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wamepongeza hatua ya kupandishwa hadhi shule hiyo kutoka kiwango cha extra county hadi […]
-
Mpango wa ‘Nyota’ wakosa msisimko uliotarajiwa
Na Benson Aswani,Idadi ndogo sana ya vijana walijitokeza katika hafla ya uhamasisho kuhusu mpango wa kuwawezesha vijana kiuchumi wa Nyota ambao umehasisiwa na rais William Ruto kwa msaada wa benki […]
Top News










