News
-
SPIKA WA BUNGE WA POKOT MAGHARIBI AHIDI KUFANYA VYEMA KATIKA KULIONGOZA BUNGE
Spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Fredrick Kaptui amesisitiza kujitolea kwake kuhakikisha kwamba wabunge katika bunge la tatu la kaunti hii wanafanya kazi kwa pamoja na kwa […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI AMPONGEZA SPIKA WA POKOT BAADA YA KUCHAGULIWA.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amempongeza spika wa bunge la kaunti hii Fredrick Kaptui kwa kuchaguliwa kama spika wa tatu kuongoza bunge hilo akielezea imani yake […]
-
MWANAMKE AJILIPIA MAHARI KAKAMEGA.
Mwanamke mmoja kutoka kijiji cha shangazi kata ndogo ya marakusi kaunti ndogo ya lugari kaunti ya kakamega amewashangaza wakazi baada ya kuwafungua ng’ombe wawili wa mumewe zizini na kuwapeleka kwao […]
-
UHABA WA MUKOMBERO WAKUMBA MAGHARIBI YA NCHI.
Uhaba wa mukombero unakumba eneo la Magharibi mwa Kenya na kuwalazimu wafanyabiashara kuvuka mpaka na kuingia taifa jirani la Uganda kusaka mmea huo. Wafanyabiashara wa mukombero sasa wanahofia kwamba katika […]
-
WAWAKILISHI WADI WAPYA KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAPOKEA MAFUNZO
Bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi linatarajiwa kurejelea vikao vyake hapo kesho jumatano vikao ambavyo vinatarajiwa kutumika kuapishwa waakilishi wadi pamoja na kumchagua spika wa bunge hilo.Wakizungumza baada ya […]
-
WALEMAVU KAUNTI YA POKOT WATAKA HAKI KUTENDEKA
Walemavu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia jinsi ambavyo liliendeshwa zoezi la uteuzi miongoni mwa vyama vya kisiasa wakidai kutengwa katika uteuzi huo licha ya kutuma maombi.Wakiongozwa na mwenyekiti […]
-
BARAZA AWASHUTUMU WALIMU KUTUMIA CBC KULA KUKU ZA WAZAZI.
Mbunge mwenye utata wa eneo bunge la Kimilili katika kaunti ya Bungoma Didmus Baraza amewasuta walimu katika kile amedai kutumia mtaala mpya wa elimu CBC kujinufaisha kutoka kwa wazazi.Akizungumza katika […]
-
VIONGOZI BARINGO WAENDELEA KUMWOMBOLEZA NAIBU GAVANA.
Viongozi mbalimbali kwenye kaunti ya Baringo wameendelea kumwomboleza naibu gavana kaunti hiyo Charles Kipng’ok aliyefariki dunia jumatano jioni kwenye uwanja wa ndege wa jomo kenyatta jijini Nairobi. Wakiongozwa na aliyekuwa […]
-
ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA LAZIDISHA VILIO NCHINI.
Hisia kali zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wananchi kufuatia hatua ya tume ya kudhibiti kawi EPRA kutangaza ongezeko la bei ya mafuta nchini.Wakiongozwa na meshack Yego wahudumu wa boda boda mjini […]
-
NAIBU GAVANA WA BARINGO AAGA DUNIA
Naibu gavana wa kaunti ya Baringo Charles Kipngok amefariki dunia katika uwanja wa kimataifa wa ndege JKIA usiku wa kuamkia leo akiwa safarini kuelekea Mombasa kwa kutumia ndege ya shirika […]
Top News










