News
-
ILANI YATOLEWA KWA WAKAZI WA TIATY KUSALIMISHA BUNDUKI YA POLISI.
Serikali imetoa makataa ya siku tatu kwa wakazi wa Ekoret eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo kurejesha bunduki ambayo inadaiwa kumilikiwa na mmoja wa maafisa wanane wa usalama waliouliwa […]
-
POLISI WAMSAKA MWANAMME ALIYEMUUA MAMAKE KUFUATIA MZOZO WA MAHINDI TRANS NZOIA.
Polisi eneo la Kiminini katrika kaunti ya Trans nzoia wanaendeleza msako dhidi ya kijana mmoja mwenye umri wa miaka 21 kwa tuhuma za kumuua mamake Judith Nafula Konya ambaye alikuwa […]
-
WAKAZI WATAKIWA KUKUMBATIA BARAZA LA MAWAZIRI LA GAVANA KACHAPIN.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kushirikiana kikamilifu na baraza la mawaziri lililobuniwa na gavana Simon Kachapin ili kuhakikisha utendakazi bora na kujizuia na kuingiza siasa […]
-
CBC YAUNGWA MKONO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Kamati ya elimu ya kutathmini utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC iliyoundwa na rais William Ruto kutafuta maoni kwa wakenya kuhusu utekelezwaji wa mtaala huo ikitarajiwa kuendeleza vikao hivyo […]
-
MAAFISA WA POLISI WAKASHIFIWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KWA KUWEKA VIZUIZI KWENYE BARABARAKUU YA LODWAR KITALE
Mbunge wa kapenguria Samuel Moroto amesema inasikitisha kuona kwamba kaunti ya pokot magharibi ina zaidi ya vizuizi 15 vya barabarani kutoka mji wa makutano hadi sigor na maeneo mengine, Vituo […]
-
MAWAZIRI WALIOTEULIWA WATAKIWA KUWAHUDUMIA WAKAAZI TRANSNZOIA KWA USALAMA
C Natembeakatika kaunti ya Transnzoia majina hayo yakiwasilishwa kwenye Bunge la kaunti hiyo kabla ya kupigwa msasa Kinara wa wachache katika Bunge hilo Erick Wafula Mwangale ametaka walioteuliwa kuwa tayari […]
-
WAKAAZI WAHAKIKISHIWA KUPATIKANA SULUHU KWA KIWANDA CHA SARUJI SEBIT POKOT MAGHARIBI
Wakazi wa eneo la batei katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamehakikishiwa kuwa kutapatikana suluhu kuhusu utata unaozingira kiwanda cha saruji cha sebit hasa kuhusiana na mbinu inayotumika kuwaajiri wanaofanya […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI AHIDI KUTEKELEZA ALIYOSEMA WAKATI WA KAMPEINI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kwamba uongozi wake utahakikisha kwamba unatimiza yote aliyowaahidi wakazi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa […]
-
WAZIRI ALIYEAPISHWA KAUNTI YA POKOT AAHIDI KUHAKIKISHA HALI ZA HOSPITALI ZOTE ZINAIMARIKA
Waziri wa afya katika kaunti hii ya Pokot magharibi Cleah Parklea amewaahidi wakazi wa kaunti hii huduma bora na sawa za afya katika hospitali na zahanati zote zinazopatikana katika kaunti […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WATAKA FIDIA KWA WALIOATHIRIKA NA UVAMIZI.
Kama njia moja ya kuponya makovu ya ujambazi katika bonde la kerio, viongozi wa eneo hilo wamesema watapitisha mswada bungeni wa kuwalipa fidia walioathirika na visa vya mara kwa mara […]
Top News










