News
-
ATHARI ZA UVAMIZI ZENDELEA KUSHUHUDIWA BARINGO.
Zaidi ya familia 100 kwenye eneo bunge la Baringo kaskazini zilizokimbia makwao kutokana na utovu wa usalama sasa zanaitaka serikali kuingilia kati ili kuwapa mahitaji ya kimsingi kama vile chakula.Familia […]
-
MACHO YOTE YAELEKEA MAHAKAMA KUU AZIMIO UKITARAJIWA KUWASILISHA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA URAIS.
Chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya kinatarajiwa leo kuwasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa William Ruto katika matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa jumatatu iliyopita na mwenyekiti wa tume […]
-
MASOMO YAREJELEWA BAADA YA LIKIZO YA UCHAGUZI.
Shughuli za masomo zinaporejelewa leo baada ya kufungwa shule kwa kipindi cha majuma mawili ili kupisha maandalizi ya uchaguzi mkuu, wazazi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanao wanarejea shuleni kwa wakati unaofaa.Akizungumza […]
-
HOSPITALI YA KACHELIBA YASUTWA KWA KUWANYANYASA WAFANYIKAZI.
Wafanyikazi katika hospitali ya Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali ngumu ya maisha ambayo wanapitia wanapoendeleza shughuli zao katika hospitali hiyo.Wafanyikazi hao wamelalamika kulipwa fedha kidogo licha ya […]
-
RUTO ATAKIWA KUFANYA MAPATANO NA WAKOSOAJI WAKE
Rais mteule William Ruto ameendelea kupokea shinikizo za kufanya mapatano na viongozi waliokuwa wakosoaji wake wakumbwa katika kipindi ambacho alikuwa akihudumu kama naibu rais.Tom Juma ambaye ni mwenyekiti wa chama […]
-
FURAHA YA KUUNGANA NA JAMAA BAADA YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI.
Wananchi wametakiwa kuwatunza vyema jamaa zao wenye matatizo ya akili kutokana na changamoto zinazotokana na watu hao katika jamii, na vile vile kufanya mazoea kutumia idara ya polisi kuwasaka iwapo […]
-
RUTO APONGEZA UCHAGUZI WAKE AKIMIMINIA SIFA IEBC.
Rais mteule William Samoei Ruto amewapongeza wakenya ambao walijitokeza kupiga kura na kuhakikisha kuwa anatwaa uongozi wa taifa hili.Akizungumza baada ya kutangazwa rasmi kuwa rais wa tano wa taifa hili, […]
-
WILLIAM RUTO ATANGAZWA RAIS WA TANO WA KENYA.
Hatimaye naibu rais William Ruto aliyewania urais kupitia chama cha UDA ametangazwa rasmi rais mteule wa taifa hili la Kenya.Akitangaza rasmi matokeo hayo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka […]
-
KACHAPIN AAHIDI KUBADILISHA SURA YA POKOT MAGHARIBI.
Kaunti ya pokot magharibi imepata sura mpya baada ya Gavana mteule wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuahidi kuhakikisha kuwa anatumia miaka mitano ambayo amekabidhiwa kuongoza kaunti hii […]
-
KACHAPIN ATEULIWA TENA GAVANA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Mwaniaji ugavana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin hatimaye ametangazwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ugavana kaunti hii.Hii ni baada yake Kachapin kuibuka mshindi kwenye […]
Top News