News
-
ZAIDI YA MAAFISA 216 WA NPR WASAJILIWA KATIKA JUHUDI ZA KUIMARISHA USALAMA BONDE LA KERIO.
Naibu kaunti kamishna eneo bunge la marakwet mashariki kaunti ya Elgeiyo marakwet Simon Osumba amesema tayari maafisa wa akiba NPR wapatao 216 wamesajiliwa kama alivyoagiza waziri wa usalama wa ndani […]
-
WATOTO WANNE WANASWA BAADA YA KUKEKETWA KACHELIBA POKOT MAGHARIBI.
Licha ya juhudi na mikakati iliyowekwa na serikali pamoja na mashirika mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi kukabili tamaduni ya ukeketaji wa watoto wa kike, visa hivi vimeendelea […]
-
VIONGOZI WA MAENEO KAME NCHINI WATOFAUTIANA NA WANAOSHINIKIZA MABADILIKO YA KATIBA.
Shinikizo zikiendelea kutolewa kufanyia katiba ya sasa marekebisho ili kutekelezwa maswala mbali mbali ya uongozi wa sasa, baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamepinga jaribio lolote la […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA JUHUDI ZA KUTAFUTA SULUHU KWA UTOVU WA USALAMA.
Miito imeendelea kutolewa kwa wadau katika kaunti hii ya Pokot magharibi kushirikiana katika kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba amani inadumishwa katika kaunti hii na kaunti zinazopatikana katika bonde la kerio.Wa […]
-
USHIRIKIANO MIONGONI MWA RAIA NA POLISI BONDE LA KERIO WATAJWA KUCHANGIA KUPUNGUA UHALIFU.
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amepongeza ushirikiano uliopo baina ya raia na maafisa wa usalama katika kaunti hiyo hasa maeneo ya mipakani ambapo kumekuwa […]
-
VIONGOZI WA KISIASA WALAUMIWA KUFUATIA KUDORORA MAADILI MIONGONI MWA JAMII.
Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Pokot Magharibi wamelaumiwa kutokana na kupotoka maadili miongoni mwa jamii hasa vijana.Mwakilishi wadi ya Mnagei Richard Todosia alisema kwamba viongozi wa kisiasa ndio wamekuwa […]
-
HOSPITALI YA KACHELIBA YAKABIDHIWA MTAMBO WA JENERETA KUKABILI TATIZO LA NGUVU ZA UMEME.
Wakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wamepata afueni baada ya serikali ya kaunti kupitia idara ya afya kuikabidhi hospitali ya Kacheliba mtambo wa jenereta ambao utatumika […]
-
WAFANYIBIASHARA MJINI MAKUTANO POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUKITHIRI WIZI.
Wafanyibiashara mjini makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa waangalifu hasa msimu huu ambapo visa vya wizi vimetajwa kukithiri.Hii ni baada ya wasichana wawili kunaswa hiyo jana wakijaribu […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WAENDELEA KULAANI MAUAJI YA WANAFUNZI WAWILI KAUNTI YA ELGEYO MARAKWET.
Siku kadhaa baada ya majangili waliojihami kwa bunduki kuwauwa kwa risasi wanafunzi wawili katika kaunti ya Elgeiyo marakwet, mbunge wa Tiaty katika kaunti ya Baringo William Kamket ameongoza mkutano wa […]
-
SHINIKIZO ZAENDELEA KUTOLEWA KUBUNI MUUNGANO MMOJA WA WANAFUNZI WA VYUO NA WALE WA VYUO VIKUU POKOT MAGHARIBI.
Ipo haja kwa wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuungana na kubuni muungano mmoja.Haya ni kwa mujibu wa aliyekuwa naibu mwenyekiti wa muungano wa […]
Top News










