News
-
WAKAZI WA AMUDAT WASHAURIWA KUTOHOFIA OPARESHENI YA KIUSALAMA INAYOENDESHWA ENEO HILO NA MAFISA WA POLISI.
Wakazi wa eneo la Amudat mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda wametakiwa kutokuwa na wasi wasi kufuatia oparesheni inayoendelea ya kuondoa silaha haramu katika mkoa […]
-
WAKUU WA SHULE WAPINGA MADAI YA KUHUSIKA UDANGANYIFU KATIKA MTIHANI WA KCSE MWAKA 2022.
Siku moja tu baada ya aliyekuwa seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio kutaka uchunguzi kufanyiwa matokeo ya mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE mwaka 2022 […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUTOINGIZA SIASA KATIKA ZOEZI LA USAJILI WA WALIMU.
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amewataka viongozi wa kisiasa katika kaunti hii kutoingiza siasa katika shughuli ya usajili wa walimu ambayo inaendelea kote nchini.Moroto […]
-
BAADHI YA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATILIA SHAKA UHALALI WA MATOKEO YA MTIHANI WA KITAIFA KCSE.
Siku chache tu baada ya matokeo ya mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE kutangazwa rasmi aliyekuwa seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametilia shaka matokeo […]
-
VIONGOZI KERIO VALLEY WALAUMU SERIKALI KWA KUSHUGHULIKIA UTOVU WA USALAMA KWA UPENDELEO.
Umiliki wa bunduki miongoni mwa baadhi ya wakazi katika bonde la kerio ndicho kikwazo kikubwa katika juhudi za kumaliza uhalifu ambao unaendelea kushuhudiwa eneo hili. Haya ni kwa kujibu wa […]
-
MWANAFUNZI AOKOLEWA KUTOKANA NA NDOA YA MAPEMA KACHELIBA.
Mwanafunzi mmoja aliyefanya mtihani wa darasa la nane KCPE mwaka jana anahifadhiwa katika kituo cha polisi cha Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi baada ya kutorokea usalama katika kituo hicho […]
-
DORIA YA KIUSALAMA YAIMARISHWA CHESOGON BAADA YA KUUAWA WATU WAWILI.
Doria imeimarishwa eneo la Chesogon mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet ili kuimarishwa usalama eneo hilo kufuatia mauaji ya watu wawili na mwingine mmoja […]
-
WADAU POKOT MAGHARIBI WAENDELEZA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA ATHARI ZA UKAME.
Mashirika mbali mbali ya kijamii kaunti hii ya Pokot magharibi yanashirikiana na serikali ya kaunti katika kubuni mikakati ya kukabili athari ambazo huenda zikasababishwa na ukame ambao unashuhudiwa kufuatia ripoti […]
-
TSC YATAKIWA KUTOA KIPAU MBELE KWA WAKAZI KATIKA SHUGHULI YA USAJILI WA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi hasa wanaotafuta nafasi za ajira katika zoezi linaloendelea la kuwaajiri walimu nchini wamelalamikia idadi kubwa ya watu wanaofika eneo […]
-
WIZARA YA AFYA YAONDOA HOFU YA UWEPO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU POKOT MAGHARIBI.
Wizara ya afya katika kaunti hii ya Pokot magharibi imeondoa wasi wasi wa uwezekano wa kuzuka ugonjwa wa kipindu pindu katika kaunti hii baada ya kuibuka madai kuwa mgonjwa mmoja […]
Top News










