News
-
MWANAMME MMOJA ANASAKWA BAADA YA KUOA MSICHANA WA MIAKA KUMI NA TATU KACHELIBA POKOT MAGHARIBI
Mwanamme mwenye umri wa makamu anatafutwa na Polisi Katika Eneo la Kacheliba baada ya kuoa msichana mwenye umri wa miaka kumi na mitatu katika Kijiji cha Koroa kwenye Wadi ya […]
-
WANANCHI WA LOKICHAR NA MASOL WANUFAIKA NA CHAKULA KUTOKA KWA BENKI YA KCB KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Benki ya KCB tawi la Pokot magharibi kupitia wakfu wa KCB foundation imezindua mpango wa siku mbili wa kutoa chakula cha msaada kwa wakazi wa lokesheni za Lokichar eneo la […]
-
PENDEKEZO LA KUBUNIWA AFISI RASMI YA KIONGOZI WA UPINZANI LAUNGWA MKONO NA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Mbunge wa Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto amepongeza hatua ya rais William Ruto kuandakia maspika wa mabunge yote mawili kuanzisha mchakato wa marekebisho ya sheria ili kubuniwe afisi […]
-
IDARA YA USALAMA POKOT MAGHARIBI YATAKIWA KUWAJIBIKA NA KUWAKABILI WAHALIFU MAKUTANO.
Naibu gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Robert Komole ameitaka idara ya usalama katika kaunti hii kushirikiana na viongozi katika kuhakikisha kwamba usalama wa wakazi wa kaunti hii unaimarishwa. […]
-
MBUNGE WA POKOT KUSINI AONYWA DHIDI YA KUMHARIBIA JINA GAVANA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendeleza shutuma dhidi ya mbunge wa Pokot kusini David Pkosing kwa kile amesema kwamba kutumia vyombo vya habari kumharibia jina. Akizungumza […]
-
MAENEO YA MIPAKANI YATAJWA KUWA CHANGAMOTO KATIKA VITA DHIDI YA UKEKETAJI POKOT MAGHARIBI.
Shirika la world Vision limeelezea kuafikia ufanisi mkubwa katika vita dhidi ya dhuluma za kijinsia ikiwemo ukeketaji na kuozwa mapema watoto wa kike eneo la Alale katika kaunti ya Pokot […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUJISALI KATIKA MAKUNDI YATAKAYOWAWEZESHA KUJIIMARISHA.
Wito umetolewa kwa wakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi kujiunga na mashirika mbali mbali yatakayowawezesha kuhifadhi fedha zao kwa manufaa ya shughuli zao hasa katika kutekeleza miradi mbali mbali […]
-
HOSPITALI YA KAPENGURIA YAPOKEA DAWA ZAIDI KUTOKA KEMSA.
Huduma za afya zinatarajiwa kuimarika katika hospitali na zahanati za kaunti ya Pokot magharibi baada ya serikali ya kaunti hiyo kupokea dawa lori saba kutoka katika shirika la kusambaza dawa […]
-
UNYANYAPAA NA TAMADUNI VYATAJWA KUWA VIKWAZO VYA HUDUMA BORA KWA WALEMAVU POKOT MAGHARIBI.
Jamii imetakiwa kuhusika katika uhamasishaji dhidi ya unyanyapaa unaotelekezwa dhidi ya watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Pokot magharibi. Ni wito wake mkewe gavana wa kaunti hiyo Sofia Kachapin […]
-
MIKUTANO YA AZIMIO YAUNGWA MKONO NA WAJUZI WA SHERIA POKOT MAGHARIBI.
Baadhi ya wajuzi wa maswala ya kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameunga mkono mikutano ya umma ambayo inatarajiwa kuandaliwa na chama cha muungano wa azimio la umoja one […]
Top News