News
-
LONYANGAPUO: SULUHU KWA TATIZO LA NJAA KAUNTI HII NI KWA KILA MMOJA KWENDA SHAMBANI.
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ameelezea haja ya kuwekeza pakubwa katika kilimo ili kukabili tatizo la njaa ambalo limekuwa kizungumkuti kila wakati wa kiangazi katika kaunti […]
-
WAATHIRIWA WA MAFURIKO MUINO WALALAMIKIA KUTELEKEZWA NA SERIKALI
Waathiriwa wa mafuriko ya mwaka 2019 eneo la Muino Pokot ya kati kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kutelekezwa na serikali licha ya hasara na madhara waliyopata kufuatia hali hiyo. Wakiongozwa […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUJIUNGA KWENYE MAKUNDI ILI KUNUFAIKA NA HUDUMA MBALI MBALI.
Meneja wa shirika la E for Impact moja ya mashirika ambayo yanaendeleza miradi mbali mbali ya kuwawezesha wakulima kaunti ya Pokot magharibi Banadet Mutinda ametoa wito kwa wakulima katika kaunti […]
-
GAVANA WA TURKANA AENDELEA KUSUTWA KWA MADAI YA KUENEZA MATAMSHI YA UCHOCHEZI.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kumsuta gavana wa kaunti ya Turkana Jeremiah Lomurkai kwa kile wamedai kwamba ameendelea kueneza semi za chuki katika mikutano ya umma kwenye kaunti […]
-
WAKENYA WAHIMIZWA KUWA TAYARI KWA HALI NGUMU ZAIDI, SERIKALI YA RAIS RUTO IKISUTWA KWA KUWA NA NIA YA KUMKANDAMIZA MWANANCHI.
Tangazo la mamlaka ya kudhibiti kawi EPRA kwamba itaongeza bei ya bidhaa za mafuta ya petroli kufuatia hatua ya rais William Ruto kutia saini mswada wa fedha wa mwaka 2023, […]
-
WAKAAZI LOMUT WATAJA MIRADI YA KILIMO KUWA CHANZO CHA UTULIVU AMBAO UNASHUHUDIWA SASA.
Wakaazi wa eneo la Lomut katika kaunti ya Pokot magharibi, moja ya maeneo ambayo yamekuwa yakishuhudia utovu wa usalama wamesifia miradi ambayo imekuwa ikiendelezwa eneo hilo chini ya mradi wa […]
-
LIPALE: OPARESHENI YA USALAMA BONDE LA KERIO INAENDELEZWA KWA UBAGUZI.
Mwenyekiti wa chama cha KUP kaunti ya Pokot magharibi Geofrey Lipale amekosoa jinsi ambavyo maafisa wa usalama wanaendesha oparesheni ya kukabili wahalifu wanaosababisha hali ya utovu wa usalama mipakani pa […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAUMIWA KWA KUENDELEZA SIASA BADALA YA KUWAHUDUMIA WANANCHI.
Wito umetolewa kwa viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi kushirikiana kikamilifu na kuwahudumia wananchi licha ya tofauti ya vyama vyao vya kisiasa. Aliyekuwa gavana wa kaunti hiyo John […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUINGILIA KATI KUSAIDIA IDADI KUBWA YA WAKAZI WA WEIWEI WANAOKABILIWA NA BAA LA NJAA.
Mwakilishi wadi ya Weiwei kaunti ya Pokot magharibi David Moiben ametoa wito kwa serikali kuu kuingilia kati na kutoa chakula cha msaada kwa wakazi wa eneo hilo ambao wanakabiliwa pakubwa […]
-
SWALA LA USALAMA LASALIA KIZUNGUMKUTI BONDE LA KERIO VIONGOZI WAKIZIDISHA HARAKATI ZA KUAFIKIWA AMANI.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wanaendeleza juhudi mbali mbali za kuhakikisha kwamba visa vya uvamizi ambao unaendelea kushuhudiwa maeneo ya mipakani vinakabiliwa ili kuafikia amani na kuruhusu wakazi wa […]
Top News










