News
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WAENDELEA KUNUFAIKA KUPITIA SHUGHULI ZA KENYA CLIMATE SMART AGRICULTURE.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kwa ushirikiano na ya kitaifa kupitia mradi wa Kenya climate smart pamoja na benki ya dunia, imeendeleza miradi mbali mbali katika kaunti hiiyo kwa […]
-
RAILA ATAKIWA KUSTAAFU SIASANI NA KUKOMA KUWA TATIZO KWA UONGOZI WA TAIFA.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kumshutumu kinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga kwa kile wamedai kwamba ameendelea kuwa tatizo kwa serikali kwa […]
-
VIJANA WATAKIWA KUWA MSITARI WA MBELE KATIKA KUDUMISHA AMANI KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti 6 za kaskazini mwa bonde la ufa ikiwemo kaunti ya Pokot magharibi kujitokeza na kuwa msitari wa mbele katika kuhakikisha kwamba amani inadumishwa katika […]
-
LOCHAKAPONG AAHIDI KUIMARISHA HALI YA WADI YA MASOL ENEO BUNGE LA SIGOR.
Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ameahidi kuhakikisha kwamba anaimarisha hali katika wadi ya Masol eneo bunge hilo ambayo ametaja kuwa moja ya maeneo ambayo yametengwa kwa […]
-
KACHAPIN ASUTA UONGOZI WA LONYANGAPUO KWA KUTEKELEKEZA MIRADI ALIYOANZISHA KATIKA AWAMU YAKE YA KWANZA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kusuta uongozi wa aliyekuwa gavana John Lonyangapuo kwa kile amesema kutekeleza miradi ambayo alianzisha katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. […]
-
MAANDAMANO YA AZIMIO YATAJWA KUWA TISHIO KWA OPARESHENI YA KIUSALAMA KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameelezea hofu kwamba huenda maandamano ambayo yanaendelezwa na chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya maeneo mbali mbali ya […]
-
KACHAPIN ASIFIA MFUMO WA UGATUZI KUWA CHANZO CHA MAENDELEO MASHINANI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza pakubwa mfumo wa ugatuzi akisema kwamba umepelekea kuafikiwa maendeleo makubwa maeneo ya mashinani ikilinganishwa na ilivyokuwa awali ambapo serikali ya kitaifa […]
-
OCS WA KONGELAI ASUTWA KWA KUWA KIKWAZO KATIKA JUHUDI ZA KUHAKIKISHA USALAMA WA WAKAZI.
Mzee wa kijiji cha Simotwo eneo la Kongelai kaunti ya Pokot magharibi Johnson Lodepa ameelezea wasi wasi kuhusiana na usalama wa eneo hilo kutokana na kuwepo kundi la vijana ambao […]
-
MACHIFU WALAUMIWA KWA KUTUMIA NGUVU KUPITA KIASI KUKABILI UGEMAJI WA POMBE HARAMU POKOT MAGHARIBI.
Familia moja eneo la Kambi chafu katika kaunti ya Pokot magharibi inalilia haki kufuatia kisa cha kujeruhiwa mama yao baada ya kudaiwa kuvamiwa na chifu wa eneo hilo. Wakiongozwa na […]
-
WADAU WASHINIKIZA KUFUNZWA LUGHA ZA MAMA SHULENI.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia mafunzo ya lugha ya mama shuleni. Ni wito wake mwanzilishi wa shule ya the Cranes Esther Serem ambaye alisema […]
Top News









