News
-
MAANDAMANO YA MRENGO WA AZIMIO YATAJWA KUWA UCHOCHEZI DHIDI YA SERIKALI YA RAIS RUTO.
Viongozi mbali mbali wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wameendelea kukosoa maswala ambayo yanashinikizwa na kinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga na vinara wenza […]
-
MADEREVA WASHUTUMU KAZI DUNI ILIYOTEKELEZWA KWENYE BARABARA YA KAPENGURIA –KACHELIBA.
Wahudumu wa magari kwenye barabara ya Kapenguria –Kacheliba hasa kutoka eneo la Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi wameshutumu kile wamesema kwamba kazi duni iliyofanywa na mwanakandarasi aliyejenga barabara hiyo. Wakiongozwa […]
-
FAMILIA MOJA KACHELIBA NUSRA ITUMIE MBOLEA KAMA CHAKULA KUFUATIA MAKALI YA NJAA.
Serikali ikiendelea kupeana mbolea ya bei nafuu kwa wakulima maeneo mbali mbali ya nchi, familia moja eneo la Riwo eneo bunge la kacheliba kaunti ya Pokot magharibi nusra ile mbolea […]
-
MASHIRIKA YASIYO YA SERIKALI YAOMBWA KUWASAIDIA WAATHIRIWA WA MAFURIKO ORTUM.
Mbunge wa Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi David Pkosing ametoa wito kwa mashirika mbali mbali yasiyo ya serikali kuingilia kati na kuwasaidia wakazi ambao walipoteza mali yao kufuatia […]
-
WAZAZI BONDE LA KERIO WATAKIWA ‘KUMKUNJA SAMAKI ANGALI MBICHI’ KATIKA KUKABILI TATIZO LA USALAMA.
Ipo haja kwa wazazi katika kaunti za bonde la kerio kuwa karibu na wanao hasa wa kiume kuanzia umri wao mdogo na kuwapa mwelekeo kuhusiana na hali ya maisha pamoja […]
-
MADHARA YA MVUA YAANZA KUSHUHUDIWA, WAFANYIBIASHARA WAKIKADIRIA HASARA ORTUM.
Wafanyibiashara katika soko la Ortum kaunti ya Pokot mgharibi wanakadiria hasara kufuatia maporomoko ya ardhi ambayo yalikumba soko hilo na kuharibu mijengo pamoja na barabara kutokana na mvua kubwa ambayo […]
-
WAKAZI WA MOSESWO, KANGILKWAN WAKADIRIA HASARA YA MIFUGO KUFUATIA MKURUPUKO WA UGONJWA USIOJULIKANA.
Wakazi wa kijiji cha Moseswo, kangilkwan wadi ya mnagei eneo bunge la Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi wametoa wito kwa maafisa wa idara ya mifugo kufika eneo hilo kubaini […]
-
GAVANA KACHAPIN ATETEA TEUZI ZA RAIS RUTO ZA MAKATIBU WAKUU WA UTAWALA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametofautiana na viongozi ambao wanamkosoa rais William Ruto kufuatia uteuzi wa makatibu wa utawala kwa madai ya kuongeza mzigo kwa mlipa ushuru […]
-
WADAU WATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA MIONGONI MWA VIJANA KACHELIBA.
Ipo haja kwa wadau mbali mbali kaunti ya Pokot magharibi kujitokeza na kubuni mikakati ya kukabiliana na matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana. Ni wito wake askofu wa kanisa la […]
Top News