News
-
RISASI 749 ZANASWA MARICH ZIKISAFIRISHWA KUELEKEA LAMI NYEUSI POKOT MAGHARIBI.
Maafisa wa polisi katika kizuizi cha polisi cha marich kaunti ya Pokot magharibi wamenasa risasi 749 ambazo zilikuwa zinasafirishwa na mhudumu wa boda boda. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi […]
-
SERIKALI POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUHAKIKISHA USALAMA WA WANANCHI MVUA YA ELNINO INAPOTARAJIWA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeendelea kuweka mikakati ya kuzuia athari zozote ambazo huenda zikashuhudiwa wakati wa mvua ya elnino ambayo inatarajiwa kushuhudiwa maeneo mbali mbali ya nchi kuanzia […]
-
RAIS ASUTWA KWA UTENDAKAZI DUNI MWAKA MMOJA TANGU ALIPOINGIA AFISINI.
Baadhi ya wananchi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelelea kumsuta rais William Ruto kwa kile wamedai kwamba kuendelea kutoa ahadi tele kwa wakenya kila eneo analozuru hali hatekelezi ahadi hizo. […]
-
SERIKALI POKOT MAGHARIBI YATETEA HATUA YA KUWAAJIRI WATAALAM WA KUTOA MAFUNZO KWA WAKULIMA.
Waziri wa kilimo, mifugo, uvuvi na unyunyiziaji maji mashamba kaunti ya Pokot magharibi Wilfred Longronyang amepuuzilia mbali madai kwamba kulikuwa na mapendeleo katika kuwaajiri wataalam wa kutoa ushauri kwa wakulima […]
-
UMASIKINI MIONGONI MWA KINA MAMA WATAJWA KUWA CHANZO KIKUU CHA DHULUMA ZA KIJINSIA.
Umasikini na hali ya wanawake kuwategemea zaidi waume zao kwa mahitaji yao mengi hasa ya kimsingi ndio maswala ambayo yametajwa kuchangia zaidi visa vya ukeketaji na dhuluma za kijinsia miongoni […]
-
MTU MMOJA AUAWA HUKU WAWILI WAKIJERUHIWA TURKWEL.
Mtu mmoja ameuliwa kwa kupigwa risasi huku wengine wawili wakiachwa na majeraha mabaya eneo la Turkwel kaunti ya Pokot magharibi katika shambulizi la hivi punde ambalo linaaminika kutekelezwa na wahalifu […]
-
MWANAMKE AWATEKETEZA WATOTO WA MKE MWENZA NA KUTOWEKA KAPCHOK, POKOT MAGHARIBI.
Polisi eneo la Kapchok kaunti ya Pokot magharibi wanamsaka mwanamke mmoja anayedaiwa kuwateketeza watoto watatu baada ya kuwafungia katika chumba ambacho kilikuwa kimeezekwa kwa nyasi katika kijiji cha Kalukuna wadi […]
-
SHULE YA UPILI YA KAPSAIT YANUFAIKA NA MRADI WA MAJI KUTOKA KANISA LA ST. GEORGES BAPTIST SOUTH CAROLINA USA.
Shule ya upili ya Kapsait eneo bunge la pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi ni moja ya shule ambazo zimenufaika na mradi wa maji ambao umefadhiliwa na kanisa la St.Georges […]
-
RAIS RUTO AENDELEA KUPOKEA SHUTUMA KWA ‘KUKIUKA’ AHADI ALIZOTOA KWA WAKENYA KUHUSU GHARAMA YA MAISHA.
Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wameelezea kusikitishwa na kile walisema kwamba rais William Ruto kwenda kinyume na ahadi ya kupunguza gharama ya maisha aliyotoa kwa wananchi wakati […]
-
BARAZA LA WAZEE POKOT MAGHARIBI LAENDELEZA MIKAKATI YA KUBUNI SHERIA ZA KUKABILI UKEKETAJI.
Harakati za kukabiliana na utamaduni wa ukeketaji katika kaunti ya pokot magharibi zimepigwa jeki baada ya baraza la wazee wa jamii ya pokot, kuahidi kuhusika katika vita dhidi ya mila […]
Top News










