News
-
WAKULIMA WAHIMIZWA KUKUMBATIA KILIMO CHA KAHAWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Wakulima katika kaunti ya Pokot magharibi wamehimizwa kupanda kahawa kwa wingi ili kujiimarisha kimapato kando na kuhakikisha uchumi wa kaunti hii unaimarika. Akizungumza eneo la Tartar wakati wa mafunzo kwa […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAZINDUA USAMBAZAJI WA DAWA YA KIMA CHA SHILINGI MILIONI 40.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imezindua rasmi shughuli ya usambazaji wa dawa za kima cha shilingi milioni 40 katika zahanati mbali mbali za kaunti, ambazo ilipokea kutoka kwa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA POKOT NA MARAKWET
Viongozi kaunti ya Pokot Magharibi wameendelea kuishinikiza serikali kuimarisha usalama maeneo ya Kamologon kwa kuhakikisha kwamba maafisa zaidi wa usalama wanatumwa eneo hilo ambako watu wawili wameuliwa hivi majuzi na […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WAAHIDI KUSHIRIKIANA KUKABILI UJANGILI
Viongozi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameahidi kushirikiana na wenzao wa kaunti jirani ya Elgeyo marakwet katika juhudi za kuhakikisha kwamba kunashuhudiwa amani ya kudumu maeneo ya mipakani pa […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA BUNDUKI ZILIZOKABIDHIWA MAAFISA WA NPR KUTWALIWA.
Baadhi ya viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuilaumu serikali kupitia wizara ya usalama wa ndani ya nchi kwa kuwakabidhi maafisa wa akiba NPR upande wa Elgeyo marakwet Bunduki na […]
-
KUNDI MOJA LAONGOZA MATEMBEZI YA KILOMITA 367 KUHIMIZA AMANI KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Kundi moja linaloshughulikia maswala ya amani kutoka kaunti Jirani ya Turkana limeungana na viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi katika matembezi ya kuhimiza amani miongoni mwa jamii za Turkana na […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAHUSISHA HATUA YA KUWAHAMI NPR WA UPANDE WA ELGEYO MARAKWET NA MAUAJI YA WATU WAWILI KAMOLOGON.
Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole amesuta hatua ya wizara ya usalama chini ya waziri Kithure Kindiki kuwakabidhi bunduki maafisa wa NPR wanaohudumu upande wa Elgeyo marakwet na […]
-
POLISI KACHELIBA WAMZUILIA MWANAMME ALIYEJARIBU KUMHEPESHA MWANAFUNZI KWA LENGO LA KUMWOA.
Mwanafunzi wa shule moja ya upili ya Wasichana Eneo bunge la Kacheliba kaunti ya Pokot Magharibi ameokolewa mikononi mwa mwanaume aliyekuwa akijaribu kumtorosha punde tu walipofunga shule mapema jana. Akithibitisha […]
-
BARAZA LA WAZEE POKOT MAGHARIBI LAPEWA MAKATAA YA SIKU 21 KUFANYA UCHAGUZI MPYA.
Afisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imelipa baraza la wazee katika kaunti ya Pokot magharibi siku 21 kufanya uchaguzi wa viongozi wake. Kulingana na mshirikishi wa baraza hilo kanda ya […]
-
WATU WAWILI WAUAWA KWENYE UVAMIZI KAMOLOGON
Taharuki imeendelea kukumba kijiji cha Kamologon mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet baada ya majangili wanaoshukiwa kutoka kaunti jirani kuvamia kijiji hicho na kuwaua […]
Top News