News
-
KIWANDA CHA SIMITI CHA SEBIT CHAAHIDI KUTENGA ASILIMIA 80 YA NAFASI ZA AJIRA KWA WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amempongeza mwekezaji ambaye anaendeleza ujenzi wa kiwanda cha simiti eneo la Sebit eneo bunge la Pokot kusini anachosema kitakuwa cha manufaa makubwa […]
-
MFUMO UNAOTUMIKA KUSAMBAZA FEDHA ZA INUA JAMII WATAJWA KUWA DHALIMU KWA WAZEE.
Serikali imetakiwa kubadili mfumo ambao unatumika kutoa pesa za inua jamii kwa makundi lengwa ikiwemo ya wazee, walemavu na mayatima nchini. Ni wito ambao umetolewa na wakazi wa kaunti ya […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA SHUGHULI YA KUWAPA WAKULIMA MBUZI AINA YA GALA KUIMARISHA SHUGHULI ZA KILIMO CHA UFUGAJI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeendeleza mikakati ya kuimarisha kilimo cha ufugaji kwa wakazi wa kaunti hiyo katika juhudi za kuimarisha mapato miongoni mwa wakazi kupitia shughuli za kilimo. […]
-
LONYANGAPUO: SULUHU KWA TATIZO LA NJAA KAUNTI HII NI KWA KILA MMOJA KWENDA SHAMBANI.
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ameelezea haja ya kuwekeza pakubwa katika kilimo ili kukabili tatizo la njaa ambalo limekuwa kizungumkuti kila wakati wa kiangazi katika kaunti […]
-
WAATHIRIWA WA MAFURIKO MUINO WALALAMIKIA KUTELEKEZWA NA SERIKALI
Waathiriwa wa mafuriko ya mwaka 2019 eneo la Muino Pokot ya kati kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kutelekezwa na serikali licha ya hasara na madhara waliyopata kufuatia hali hiyo. Wakiongozwa […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUJIUNGA KWENYE MAKUNDI ILI KUNUFAIKA NA HUDUMA MBALI MBALI.
Meneja wa shirika la E for Impact moja ya mashirika ambayo yanaendeleza miradi mbali mbali ya kuwawezesha wakulima kaunti ya Pokot magharibi Banadet Mutinda ametoa wito kwa wakulima katika kaunti […]
-
GAVANA WA TURKANA AENDELEA KUSUTWA KWA MADAI YA KUENEZA MATAMSHI YA UCHOCHEZI.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kumsuta gavana wa kaunti ya Turkana Jeremiah Lomurkai kwa kile wamedai kwamba ameendelea kueneza semi za chuki katika mikutano ya umma kwenye kaunti […]
-
WAKENYA WAHIMIZWA KUWA TAYARI KWA HALI NGUMU ZAIDI, SERIKALI YA RAIS RUTO IKISUTWA KWA KUWA NA NIA YA KUMKANDAMIZA MWANANCHI.
Tangazo la mamlaka ya kudhibiti kawi EPRA kwamba itaongeza bei ya bidhaa za mafuta ya petroli kufuatia hatua ya rais William Ruto kutia saini mswada wa fedha wa mwaka 2023, […]
-
WAKAAZI LOMUT WATAJA MIRADI YA KILIMO KUWA CHANZO CHA UTULIVU AMBAO UNASHUHUDIWA SASA.
Wakaazi wa eneo la Lomut katika kaunti ya Pokot magharibi, moja ya maeneo ambayo yamekuwa yakishuhudia utovu wa usalama wamesifia miradi ambayo imekuwa ikiendelezwa eneo hilo chini ya mradi wa […]
-
LIPALE: OPARESHENI YA USALAMA BONDE LA KERIO INAENDELEZWA KWA UBAGUZI.
Mwenyekiti wa chama cha KUP kaunti ya Pokot magharibi Geofrey Lipale amekosoa jinsi ambavyo maafisa wa usalama wanaendesha oparesheni ya kukabili wahalifu wanaosababisha hali ya utovu wa usalama mipakani pa […]
Top News