News
-
JAMII YAHIMIZWA KUJITENGA NA TAMADUNI YA UKEKETAJI POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kujitenga na tamaduni ya kuwakeketa pamoja na kuwaoza mapema wanao wa kike na badala yake kuwapa nafasi ya kuendeleza elimu ili […]
-
KINDIKI ATAKIWA KUFANIKISHA KUPANDISHWA VYEO MACHIFU WALIOONGEZA MASOMO.
Gavana wa kaunti ya Elgeyo marakwet Wesley Rotich ametoa wito kwa waziri wa usalama wa ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki kuhakikisha kwamba machifu ambao waliongeza masomo wanapandishwa vyeo na […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA YA ELIMU POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wadau mbali mbali katika sekta ya elimu kushirikiana na kushughulikia changamoto ambazo zinakabili sekta hiyo kaunti ya Pokot magharibi. Akizungumza baada ya kuzuru shule mbali mbali kaunti […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WAENDELEA KUNUFAIKA KUPITIA SHUGHULI ZA KENYA CLIMATE SMART AGRICULTURE.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kwa ushirikiano na ya kitaifa kupitia mradi wa Kenya climate smart pamoja na benki ya dunia, imeendeleza miradi mbali mbali katika kaunti hiiyo kwa […]
-
RAILA ATAKIWA KUSTAAFU SIASANI NA KUKOMA KUWA TATIZO KWA UONGOZI WA TAIFA.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kumshutumu kinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga kwa kile wamedai kwamba ameendelea kuwa tatizo kwa serikali kwa […]
-
VIJANA WATAKIWA KUWA MSITARI WA MBELE KATIKA KUDUMISHA AMANI KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti 6 za kaskazini mwa bonde la ufa ikiwemo kaunti ya Pokot magharibi kujitokeza na kuwa msitari wa mbele katika kuhakikisha kwamba amani inadumishwa katika […]
-
LOCHAKAPONG AAHIDI KUIMARISHA HALI YA WADI YA MASOL ENEO BUNGE LA SIGOR.
Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ameahidi kuhakikisha kwamba anaimarisha hali katika wadi ya Masol eneo bunge hilo ambayo ametaja kuwa moja ya maeneo ambayo yametengwa kwa […]
-
KACHAPIN ASUTA UONGOZI WA LONYANGAPUO KWA KUTEKELEKEZA MIRADI ALIYOANZISHA KATIKA AWAMU YAKE YA KWANZA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kusuta uongozi wa aliyekuwa gavana John Lonyangapuo kwa kile amesema kutekeleza miradi ambayo alianzisha katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. […]
-
MAANDAMANO YA AZIMIO YATAJWA KUWA TISHIO KWA OPARESHENI YA KIUSALAMA KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameelezea hofu kwamba huenda maandamano ambayo yanaendelezwa na chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya maeneo mbali mbali ya […]
-
KACHAPIN ASIFIA MFUMO WA UGATUZI KUWA CHANZO CHA MAENDELEO MASHINANI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza pakubwa mfumo wa ugatuzi akisema kwamba umepelekea kuafikiwa maendeleo makubwa maeneo ya mashinani ikilinganishwa na ilivyokuwa awali ambapo serikali ya kitaifa […]
Top News