News
-
Wakazi wa Turkwel kunufaika na huduma za kampuni ya KenGen
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amefanya kikao na meneja wa kampuni ya kuzalisha umeme ya KenGen, mhandisi Peter Njenga kuangazia utendakazi wa kampuni hiyo na […]
-
Raila analipwa na rais kutuharibia sifa; Moroto
Na Benson Aswani,Wabunge nchini wameendelea kulalamikia kauli ya rais William Ruto na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kwamba wanajihusisha na maswala ya ufisadi katika kuwachunguza maafisa serikalini na […]
-
Poghisio atetea pendekezo la NG-CDF kuondolewa mikononi mwa wabunge
Na Emmanuel Oyasi,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametetea kauli ya kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kwamba hazina ya NGCDF ipokonywe wabunge na badala yake […]
-
Wakazi wa Endough watakiwa kujisajili kupata vitambulisho vya kitaifa
Na Benson Aswani,Mwakilishi wadi ya Endough kaunti ya Pokot magharibi Victor Siywat amepongeza idadi ya wakazi ambao wamejitokeza kuchukua vitambulisho katika zoezi ambalo limekuwa likiendelezwa eneo hilo. Akizungumza na kituo […]
-
Poghisio aelezea wasiwasi kuhusu serikali ya muungano
Na Benson Aswani,Huenda hatua ya serikali ya rais William Ruto kuunda serikali ya muungano na chama cha ODM ikawa na malengo ya kufanikisha maamuzi ya serikali pamoja na kutimiza malengo […]
-
Jukwaa la Husika lazinduliwa kukabili changamoto za mabadiliko ya hali ya anga
Na Emmanuel Oyasi,Wadau katika sekta ya mazingira wamekongamana mjini Lodwar kaunti ya Turkana kuangazia mbinu ya kukabili changamoto za mabadiliko ya hali ya anga ili kuzuia athari ambazo hutokana na […]
-
Mashirika ya jamii yapongezwa kwa kuchangia kupungua ukeketaji pokot magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Msaidizi wa kamishina eneo la Chesogon kaunti ya Pokot magharibi Peter Njuguna amepongeza mikakati ambayo imewekwa na serikali kwa ushirikiano na mashirika mbali mbali ya kijamii ambayo imepelekea […]
-
Moroto aahidi kuhakikisha umeme unafika kila sehemu eneo bunge la Kapenguria
Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto amewahakikishia wakazi wa eneo bunge lake kwamba atahakikisha umeme unafika maeneo ambako kuna changamoto hiyo. Moroto alisema atatumia kipindi […]
-
Mikakati ya kuimarisha usalama Pokot Kaskazini yaendelea
Na Benson Aswani,Idara ya usalama kaunti ya Pokot magharibi inaendelea kuweka mikakati ya kukabili visa vya utovu wa usalama katika baadhi ya maeneo ya eneo la Pokot kaskazini ambako kumeripotiwa […]
-
Manispaa ya Kapenguria yaendeleza vikao na wakazi kuhusu sheria za mji
Na Benson Aswani,Uongozi wa manispaa ya Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi unaendeleza vikao na wakazi wa manispaa hiyo katika mikakati ya kutunga sheria ambazo zitasaidia katika kupangilia mji wa makutano. […]
Top News