Author: Charles Adika
-
-
-
SHILINGI MIA SITA YASABABISHA MUME KUMUA MKEWE
KAKAMEGA Mwanamme mwenye umri wa miaka 60 anazuiliwa na maafisa wa polisi katika eneo bunge la Shinyalu kwenye kaunti ya Kakamega kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka […]
-
Maimamu wapinga hatua ya mkuu wa DCI George Kinoti
Baraza la maimamu katika kaunti ya Uasin Gishu limeeleza kusikitishwa na hatua anayotaka kuchukua kiongozi wa idara ya upelelezi DCI George Kinoti kuchunguza kesi za ghasia za baada ya uchaguzi […]
-
-
-
-
WITO WA MBUNGE WA MUMIAS MASHARIKI BENJAMIN WASHIALI
MUMIAS MASHARIKI Huku idadi kubwa ya wakenya wakiwemo wahudumu wa afya wakiendelea kuripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa wa corona mbunge wa Mumias Mashariki Benjamin Washiali amewataka wenyeji wa eneo hilo […]
-
UKOSEFU WA CHANJO MIONGONI MWA WATOTO
TRANS NZOIA Ukosefu wa taarifu muhimu kuhusu chanjo, dhana potovu, uwoga wa kutafuta huduma hosipitalini kutokana na janga la corona na baadhi ya vituo vya afya kutumika kama vituo vya […]
-
UPOTOVU WA MAADILI MIONGONI MWA VIJANA
BUNGOMA Shutuma zinaendelea kutolewa kwa kisa ambapo vijana ishirini na mmoja walipatikana katika mkahawa mmoja mjini webuye wakijiburudisha kwa vileo licha ya kuwa na umri mdogo.Viongozi wa hivi punde ni […]
Top News








