Author: Charles Adika
-
-
-
MPIGO WA KALYA RADIO
Ungana naye Alfamash kwanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa nne
-
-
-
WANAMME WAWILI WAHUKUMIWA KIUFUNGU CHA MIAKA 120 NA 80 MTAWALIA NA MAHAKAMA YA KITALE
Mahakama ya Kitale imewahukumu wanamme wawili kifungu cha miaka 120 na miaka 80 mtawalia gerezani baada ya kushtakiwa kwa wizi wa kimabavu.Mwanamme mmoja ambaye ametambuliwa kama Walter Mong’are amehukumiwa miaka […]
-
SENETA DKT SAMUEl POGHISIO APONGEZA MKUTANO WA AMANI ULIOFANYIKA BARINGO
Seneta wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Dkt Samuel Poghisio amepongeza mkutano wa amani ambao umefanyika katika hoteli moja kule Baringo ya kusini kati ya maafisa wakuu wa usalama wakiongozwa […]
-
WENYEJI WA BONDENI KITALALE WAVAMIWA NA FUNZA
Huku msimu wa mvua ukitarajiwa kuendelea, wenyeji wa Bondeni Kitalale kwenye kaunti ya Trans Nzoia wanalalamikia kuhangaishwa na funza.Kulingana na wenyeji hao ni kwamba hali ya uchochole wanamoishi imekuwa chanzo […]
-
VITUO ZAIDI VYA KUTOA CHANJO YA COVID 19 KAUNTI YA BUNGOMA VIMEFUNGULIWA
Mshirikishi wa maswala ya magonjwa ibuka kwenye kaunti ya Bungoma Moses Wambusi amesema kuwa vituo 20 vya kutoa chanjo ya covid 19 vimefunguliwa kwenye maeneo bunge yote 10 kwenye kaunti […]
-
Top News